Hakuna Rais wa Tanzania aliyewahi kumteua Joseph Sinde Warioba kuwa Jaji wa Mahakama yoyote hapa nchini, awe mkweli asipotoshe

Katika historia ya nchi hii, hakuna Rais yeyote yule aliyewahi kumteua Mh. Joseph Sinde Warioba kuwa Jaji, na katika vitabu vyote vya hukumu zilizoripotiwa, hakuna hukumu hata moja ya Mh. Joseph Sinde Warioba. Hajawahi kukalia kiti cha ujaji hata mara moja.

Katika orodha ya majaji wa nchi hii jina lake halimo

Kwanini kwa muda wote huo ameruhusu jamii ipotoshwe na yeye akiwa kimya?

Zaidi zaidi aliwahi kukaa katika Baraza linaloshughulika na utatuzi wa migogoro ya bahari.
Una changamoto ya akili si bure.
 
Daah vijana nidhamu ipo chini sana yaani ujinga ujinga wa Siasa mnafikia kuwajibu Wazee waliofanya kazi kwa kipindi kirefu kwa maslahi ya Nchi mpaka leo hii mnaona Nchi ina amani.
 
aliwahi kuwa jaji wa Hamburg, Korti ya kimataifa ya makao yake makuu ya Ujerumani ya Sheria ya Bahari kutoka 1996 hadi 1999. Zaidi ya hayo, mnamo 1996, Rais Benjamin Mkapa alimteua kama mwenyekiti wa Tume ya Rais Dhidi ya Serikali Rushwa, inajulikana zaidi kama Tume ya Warioba.
hiyo nafasi mkapa aliyomteua ina hadhi ya judge wa mahakama kuu?
 
Katika historia ya nchi hii, hakuna Rais yeyote yule aliyewahi kumteua Mh. Joseph Sinde Warioba kuwa Jaji, na katika vitabu vyote vya hukumu zilizoripotiwa, hakuna hukumu hata moja ya Mh. Joseph Sinde Warioba. Hajawahi kukalia kiti cha ujaji hata mara moja.

Katika orodha ya majaji wa nchi hii jina lake halimo

Kwanini kwa muda wote huo ameruhusu jamii ipotoshwe na yeye akiwa kimya?

Zaidi zaidi aliwahi kukaa katika Baraza linaloshughulika na utatuzi wa migogoro ya bahari.
Hata kama ni hivyo, kwa watu wa Mara Jaji maana yake Kaka. Kwahiyo hakuna kosa bado akiitwa hivyo na hakuna upotoshaji wowote ule
 
Basi ajiite "chikaka", " masika" Au tume jina "masologo manyege"
 
Siku hiyo mlikanunulia whisky?

Ndugu yangu kama wewe ni mkristo epuka sana kutumika kuwaandama au kuwaua hawa wazee waliolitumikia Taifa hili kwa moyo mkuu na waaminifu. Wangeweza kuiba na kuligawa Taifa vipande vipande na wakawa mabilionea wakaishi wanakotaka.

Labda kama wewe ni mgeni aliyekuja kuwamaliza watu wabaya kwa mtizamo wa Kibepari na kidikteta. Maana mfumo uliopo sasa ni wa udikteta wa kibepari kama ule wa Mabuto Seseko kule Zaire ya zamani .
Udikteta wa Kibepari hauna tofauti na ugaidi maana hauna mfumo rasmi wa kusimamia sheria kwa wazi au kwa kificho.

Bora udikteta wa kijamaa unakinda rasilimali na mali za umma.

Udikteta wa kibepari unaumiza watu wanyonge sana wasio na madhara yoyote kiusalama lakini unafanywa kwa ajili ya kulinda wakubwa na mali zao na mabeberu ili kunyonya na kuiba mali za umma.

RIP
Sokoine
Nyerere.
Mkapa.
Lowasa.,
Mrema
 
Katika historia ya nchi hii, hakuna Rais yeyote yule aliyewahi kumteua Mh. Joseph Sinde Warioba kuwa Jaji, na katika vitabu vyote vya hukumu zilizoripotiwa, hakuna hukumu hata moja ya Mh. Joseph Sinde Warioba. Hajawahi kukalia kiti cha ujaji hata mara moja.

Katika orodha ya majaji wa nchi hii jina lake halimo

Kwanini kwa muda wote huo ameruhusu jamii ipotoshwe na yeye akiwa kimya?

Zaidi zaidi aliwahi kukaa katika Baraza linaloshughulika na utatuzi wa migogoro ya bahari.
Kuwa Waziri Mkuu Mstaafu ni Cheo kikubwa kuliko Jaji wa Mahakama.
 
Katika historia ya nchi hii, hakuna Rais yeyote yule aliyewahi kumteua Mh. Joseph Sinde Warioba kuwa Jaji, na katika vitabu vyote vya hukumu zilizoripotiwa, hakuna hukumu hata moja ya Mh. Joseph Sinde Warioba. Hajawahi kukalia kiti cha ujaji hata mara moja.

Katika orodha ya majaji wa nchi hii jina lake halimo

Kwanini kwa muda wote huo ameruhusu jamii ipotoshwe na yeye akiwa kimya?

Zaidi zaidi aliwahi kukaa katika Baraza linaloshughulika na utatuzi wa migogoro ya bahari.
Hapa naona uko nje ya mada kabisa,jibuni hoja zake tuwasikie
 
Katika historia ya nchi hii, hakuna Rais yeyote yule aliyewahi kumteua Mh. Joseph Sinde Warioba kuwa Jaji, na katika vitabu vyote vya hukumu zilizoripotiwa, hakuna hukumu hata moja ya Mh. Joseph Sinde Warioba. Hajawahi kukalia kiti cha ujaji hata mara moja.

Katika orodha ya majaji wa nchi hii jina lake halimo

Kwanini kwa muda wote huo ameruhusu jamii ipotoshwe na yeye akiwa kimya?

Zaidi zaidi aliwahi kukaa katika Baraza linaloshughulika na utatuzi wa migogoro ya bahari.
Iwe hivyo au isiwe hivyo,sio issue Wala kuwa jaji siku hizi za sasa.Kikubwa ni kujibu hoja zake.
After all ujaji siku hizi ni kama udiwani,heshima ya majaji haipo kama zamani. Wamekua wanasiasa na kufanya kazi za siasa
 
Una nakala ya hukumu wakati akiwa Mahakama ya Afrika Mashariki? E.A.C.A? au E. A? Haipo! Hajawahi kuwa Jaji huko, pitia hata H. C. D hayumo,
Nilichogundua ni uelewa wako mdogo alafu unajikuta mjuaji. All the best Mkuu.
 
Wewe ndio kabisaa, huna akili
Soma ukurasa wa 54 na 55 wa hiyo document vitakusaidia kuondoa chuki na ujinga kiongozi.

Nikusaidie tu ukurasa wa 54 - 55 zinawataja majaji wastaafu wa hiyo Mahakama ya Afrika Mashariki ukurasa wa 55 ndio utalikuta jina la Mzee Jaji Warioba miongoni mwa majaji wengine wastaafu wa hiyo Mahakama.

Ukitoka hapo uende kutubu dhambi yako ya ufitini na chuki kiongozi.
 
Attachments

Back
Top Bottom