Mkuu wale ni tofauti mikataba yao wanayoingia wanalipwa pesa kubwa tofauti na uku kwetu.Ali Kiba kasaini Sony lakini ajaweka wazi ni kiasi gani kalipwa kwasababu ni aibu.Sawa mkuu sijakataa swala la capital na network ni zuri kwa kila mfanya biashara.Ila unaamini kuwa kwa mafanikio ya Diamond anamzidi Nick Minaj au P Didy???
Hayo ni mambo ya kitoto kuponda mafanikio ya wengine so haoni kuwa wale waliochini yake pia wanajihisi inferiority kwa hizo kauli zake.
Anafanya kila kitu ili deal la kiba ionekane KA bug mtu anakubal tangazo la tomato akatae deal la Sony inaamaana davido Hana pesa za video au promotion maana nikisema Chris nataniakuna uhusiano wa moja kwa moja wa uswahili na utandale yeye ni nani mbona wakina chris brown lil wayne kanye jay z nk wapo chini ya record lebel yan huyu ni ili mradi tu aonekane hamkubali kiba ila akubali akatae ishamuingia haina namna atulie na kiki zake #aje
Jamaa anapenda sifa Sana huyuJayZ, 50 Cent, P Diddy, Bird Man, Suge hebu njoeni mumsikie Platnumz...
YNWA
Sasa huko ni kufananisha chungwa na embe, yote matunda lkn ladha na mwonekano tofautikuna uhusiano wa moja kwa moja wa uswahili na utandale yeye ni nani mbona wakina chris brown lil wayne kanye jay z nk wapo chini ya record lebel yan huyu ni ili mradi tu aonekane hamkubali kiba ila akubali akatae ishamuingia haina namna atulie na kiki zake #aje
Anafanya kila kitu ili deal la kiba ionekane KA bug mtu anakubal tangazo la tomato akatae deal la Sony inaamaana davido Hana pesa za video au promotion maana nikisema Chris natania
Wivu utawauwa pumbavu
uko sahihi mkuu, ungekuwa mpunga mzuri asingefichaMkuu wale ni tofauti mikataba yao wanayoingia wanalipwa pesa kubwa tofauti na uku kwetu.Ali Kiba kasaini Sony lakini ajaweka wazi ni kiasi gani kalipwa kwasababu ni aibu.
Hongera, unakipaji cha chuki unastahili kuajiliwa kama mnyongaji.Kweli lakini, ila hata hao ma top wenyewe wanasainishwa tuu, inategemea ni nini unataka, diamond hajafikia na sijui kama atafikia hiyo level(namuombea afikie huko)level ya kufanyiwa fitna na record labels za kimataifa akifikia huko atasaini tuu pamoja na hao madogo wake machoko, tena watasaini kama package hadi fela, tale na salam, drake yuko under record label awe diamond bana, bado ni our African best musician ila akienda kidunia(global) atabadilika