Ombudsman
JF-Expert Member
- Apr 18, 2012
- 3,565
- 3,733
Mkuu wale ni tofauti mikataba yao wanayoingia wanalipwa pesa kubwa tofauti na uku kwetu.Ali Kiba kasaini Sony lakini ajaweka wazi ni kiasi gani kalipwa kwasababu ni aibu.Sawa mkuu sijakataa swala la capital na network ni zuri kwa kila mfanya biashara.Ila unaamini kuwa kwa mafanikio ya Diamond anamzidi Nick Minaj au P Didy???
Hayo ni mambo ya kitoto kuponda mafanikio ya wengine so haoni kuwa wale waliochini yake pia wanajihisi inferiority kwa hizo kauli zake.