Hakuna sababu ya Haji Manara kufosi kupewa ajira Yanga. Abaki kama Shabiki, Mdau na Mwanachama akipenda

Hakuna sababu ya Haji Manara kufosi kupewa ajira Yanga. Abaki kama Shabiki, Mdau na Mwanachama akipenda

Binafsi sioni tatizo hata kama atarudi kuendelea na nafasi yake ya msemaji wa Yanga kwani ndo nafasi aliyoajiriwa na kuitumikia alipotoka msimbazi, anachotakiwa afuate utaratibu wa kuwasiliana na mwajiri yeye ndiye atakayeamua hatima yake na si kuongea na media kuhusu hatima ya nafasi yake
 
Hana elimu kichwani mtupu anategemea ulozi na ushirikina tu wenzake kina hasani bumbuli na antonio nugaz wametulia wanakula neema ya nchi ila yule bila porojo majungu na fitna hatoboi.
 
Namchukia sana hiyo mpayukaji Manara.

Alliniudhi wakati Israel alipoanza kuitembezea kibano Hamas aliandika maneno ya kuikashifu Israel kwenye account yake watu wakaanza kumsema vibaya.

Yake maneno yake aliyoyaandika nadhani hayakudumu zaidi ya saa 2 akawa ameyafuta
 
Haji Manara hana tofauti na Ali Kamwe.
 
Namchukia sana hiyo mpayukaji Manara.

Alliniudhi wakati Israel alipoanza kuitembezea kibano Hamas aliandika maneno ya kuikashifu Israel kwenye account yake watu wakaanza kumsema vibaya.

Yake maneno yake aliyoyaandika nadhani hayakudumu zaidi ya saa 2 akawa ameyafuta
Sasa Israel kusemwa we inakuuma nini? Una uhusiano gani na Israel?
 
Mie nashauri wawachukue wote Manara, Kamwr pamoja na Kibu. Ukiona jirani anatamani kila ulichonacho Hadi ulivyovitupa ujue umemzidi kwenye Nyanja zote anachotafuta ni kujifariji.
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Pale Yanga hakuna wa kumpangia Haji Manara cha kufanya. Atakaloamua ndio hilo atalitenda na hivi karibuni aliongezewa salary.
 
Back
Top Bottom