Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
- Thread starter
-
- #21
Ni vizuri ukawapeleka ushahidi takukuru. Maana wanaichunguza hii ishu. Na uzuri umekiri kuna ufisadi unafanyika.Waitara Mwita ni Bonge moja la MNAFIKI. Huyu jamaa alikuwa ni SEHEMU YA UFISADI HUO....!!Lakini leo anajifanya Malaika baada ya kuhamia CCM. Huyu jamaa Wakurya wanawaita " MURISYA"!
Kama kawa! Wewe na CHADEMA tu!Chadema wanamuombea mabaya
Ndugu yangu hata move naangamia kwa tv ila najua acting na real eventMuwe mnaagalia taarifa za habari.
Clip zipo wakati mpiga mbiu akieleza juu ya ufisadi wa mwenyekiti wa Chadema. Leo kulikuwa na uzi humu kuwa mpiga mbiu alitaka apigwe kipigo cha mbwa mtu. Na wewe ni mmoja wa mliofurahi. Acha unafiki.Una uhakika na hayo unayoyasema, mbona unaingilia uchunguzi wa Takukuru je ukiitwa ukathibitishe haya uliyoyasema upo tayari. Nyie ndo mnaompa wakati mgumu Maxence Melo anaingia gharama za mawakili kutetea. Hebu tulia vyombo vinafanya uchunguzi wake
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni vizuri ukawapeleka ushahidi takukuru. Maana wanaichunguza hii ishu. Na uzuri umekiri kuna ufisadi unafanyika.
Kwani mbiu inaanzia wapi? Kwenye media alafu vyombo vya usalama vinafanya kazi.Kama PCCB, Policcm na Mahakama watathibitisha kwa ushahidi usiotiliwa shaka aliowasilisha Waitara mwenyewe kwene media!
Kwani mbiu inaanzia wapi? Kwenye media alafu vyombo vya usalama vinafanya kazi.
Hoja hapa ni kutomchukia waitara kwa kusema ufisadi wa Chadema. We kama unaushahidi juu ya ufisadi wa Rostam nenda Pccb house tena watafurahi.Pumba tupu,rostam utajiri wake umeongezeka Mara 1000 zaidi akiwa mchumi wa CCM ameiba ndani ya serikali kwa mwamvuli wa chama.Kinana amefanya ufisadi wa kutisha akiwa mtendaji mkuu wa chama-hatua gani zimechukuliwa.
EPA,Melemeta,escrow,Richmond,Lugumi ufisadi huu wote una mikono ya wenyeviti wa SSM Taiga hatua gani zilichukuliwa??
Duh...!. JF hatari!, kumbe hadi kuna watu wanafanya sensa ya threads zote za Chadema na ku keep tracks za wanao comment!.Bro ni makubaliano kila sred inayohusu cdm na mbowe lazma utie neno nn?? Hahaha
Thanks
Kama kawa! Wewe na CHADEMA tu!
Maovu gani? Kuimarisha sekta ya afya? Kuimarisha miundo mbinu? Kudhibiti mafisadi na wabadhirifu?Ningemwelewa tu kama angejilipua na kuupa umma wa watanzania maovu ynayotendwa na ccm na serikali yake.
Sikuelewi. Jimbo gani? Ili iweje?So far umeamua jimbo gani?
Kaa kimya wewe hujui kitu.tukiweka orodha hapa utakimbia jfChadema kule hamna kitu , JPM anafanya fresh Tu kukipiga nyundo hcho chama, haiwezekan watu wote waondoke kule wakimtuhumu mwenyekiti , Cha-cha , wangwe, Zitto, Slaa, waitara , sumaye , katambi , lowasa , n.k , tuseme Tu ukweli mwenyekiti ndo tatizo , chama kimekuwa kikubwa lakn anakiendesha Kwa fikra zile zile za mwaka 40 , za upigaji ..... Aache hzo bhana , af kuna mijitu humu inajua kabisa mwenyekiti ni uozo but they are fighting to defend the guy...yaan watu wa namna hyo huwa nawaona mapopoma aisee