Hakuna sababu ya kuomba michango ya mafuriko ya Hanang, Serikali isaidie wananchi kwa pesa zake

Sasa hivi utasikia serikali yakopa Tsh 1b kukabili mafuriko Hanang

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
True serikali inatapanya kodi kil sehem mara kununua magoli mara kwwnda dubai na msafara wa watu Mia 3 .mara kuingeza mawizara kila siku
 
Halafu raisi yeye anazurura tu na akija anaongezea uteuzi
 
Baadhi ya thrd munazileta ili kutuharibia afya yetu. Ukisikiliza vituko vya serikali hizi, unaweza kutapika.
Rais anakwenda kutafuta biashara binafsi kwa kutumia pesa za serikali, anapongezwa kwa safari ya Dubai. Marais wengine wanatoa hotuba na kuondoka, yeye anabaki utadhani ana umuhimu kuliko wengine.

Hakika wanategema misaada ianze kushuka ingawa wao wako kwenye magari ya mabilioni. Safari hii watuache. Hii mikasa imekuwa ni nafasi ya wizi.

Mimi sina huruma na rais wetu kwa sababu ni mzembe! Bado anaona ni raha kuitwa mwarabu hata kama pua yake ni ya kimakonde. Anaona raha na vikao vya Dubai bila kujali hali ya nyumbani. Anarudi nyumbani, lakini haoneshi dharula; atakwenda siku fulani. Wakati huo huo walioko huko wanasema 'mama Samia anawakumbuka'. Shiiiit!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…