HAKUNA SABABU ZA MSINGI ZA WATOTO KUSOMA ENGLISH MEDIUM

Mi mi

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2024
Posts
2,748
Reaction score
5,112
Samahani kwa kusema hili, ukweli uliowazi ni hakuna sababu za msingi za watoto kusoma hizi shule za English medium.

Naongea kwa sababu hili suala nalifahamu kwa asilimia kubwa.

Tena kwa wazazi wanao dunduliza na kujibana samahani kwa kuwaita wapumbavu ambao ujinga, mihemko na maisha ya kuigana yamewatawala pia ufahamu wa masuala ya kielimu upo chini.

Hakuna elimu bora Tanzania amka acha kuwa mjinga wa mfumo wa kipuuzi uliowekwa katika jamii ili kutapeli wajinga.
 
usiishie kuchimba mkwara na kukebehi watu weka facts kwanini shule hizo sio sahihi kwa watoto wetu
 
Hivi kwanini mliosoma kayumba mna wivu sana na hawa watoto, halafu maelezo yenu ni mafupi sana.
Naongea kwa sababu hili suala nalifahamu kwa asilimia kubwa.
 
Huna uwezo tu mkuu, kiukweli mazingira ya Kayumba tuliyosomea sisi ni duni na mabaya mno ukilinganisha na English medium schools.

Ila kama fedha huna Baki huko huko kwenye elimu Bure.
 
Hakuna tofauti ya wa elimu bure na hao wa English medium.

Sheikh yule yule kanzu tofauti.
 
Sawa mkuu, we wapeleke Kayumba tulizosomea sisi.

It's your choice, siyo agenda ya kuhamasishana hii. Kama mtu anamudu kulipa ada na anaona uzuri wa shule husika basi ni juu yake.
 
Samahani kwa kusema hili, ukweli uliowazi ni hakuna sababu za msingi za watoto kusoma hizi shule za English medium.

Naongea kwa sababu hili suala nalifahamu kwa asilimia kubwa.

Tena kwa wazazi wanao dunduliza na kujibana samahani kwa kuwaita wapumbavu ambao ujinga, mihemko na maisha ya kuigana yamewatawala pia ufahamu wa masuala ya kielimu upo chini.

Hakuna elimu bora Tanzania amka acha kuwa mjinga wa mfumo wa kipuuzi uliowekwa katika jamii ili kutapeli wajinga.

Ushauri wako ni upi?
 
Back
Top Bottom