HAKUNA SABABU ZA MSINGI ZA WATOTO KUSOMA ENGLISH MEDIUM

HAKUNA SABABU ZA MSINGI ZA WATOTO KUSOMA ENGLISH MEDIUM

Hivi kwanini mliosoma kayumba mna wivu sana na hawa watoto, halafu maelezo yenu ni mafupi sana.
kwa kuwa hili jambo ni hiyari ya mtu binafsi, yeye apeleke watoto wake kule kunakoipendeza nafsi yake kwa sababu zake.
 
Wewe ni nani utupangie shule za kuwapeleka watoto wetu, huna uwezo wa kuwapeleka English Medium endelea kujifariji na kayumba
 
Hivi kwanini huwa hamuweki fact ni kwanini haswa mnaona hakuna maana kusomesha mtoto English medium?? Naona wengi wenu mnaoleta mada hii huwa hamna hoja ya msingi hivyo mnaoneka wapiga porojo tu na mna wivu ndani yenu.
 
Unaanza kupangia matumizi hela watu wazima wenzako unawasidia kutafuta kila mtu atumie hela vile anavyotaka kama mtu anahonga na kunywa bia hela kibao itakuwa ubaya kusomesha mtt wake
 
Back
Top Bottom