usiishie kuchimba mkwara na kukebehi watu weka facts kwanini shule hizo sio sahihi kwa watoto wetuSamahani kwa kusema hili, ukweli uliowazi ni hakuna sababu za msingi za watoto kusoma hizi shule za English medium.
Naongea kwa sababu hili suala nalifahamu kwa asilimia kubwa.
Tena kwa wazazi wanao dunduliza na kujibana samahani kwa kuwaita wapumbavu ambao ujinga, mihemko na maisha ya kuigana yamewatawala pia ufahamu wa masuala ya kielimu upo chini.
Hakuna elimu bora Tanzania amka acha kuwa mjinga wa mfumo wa kipuuzi uliowekwa katika jamii ili kutapeli wajinga.
Hakuna tofauti ya wa elimu bure na hao wa English medium.Huna uwezo tu mkuu, kiukweli mazingira ya Kayumba tuliyosomea sisi ni duni na mabaya mno ukilinganisha na English medium schools.
Ila kama fedha huna Baki huko huko kwenye elimu Bure.
Sawa mkuu, we wapeleke Kayumba tulizosomea sisi.Hakuna tofauti ya wa elimu bure na hao wa English medium.
Sheikh yule yule kanzu tofauti.
Samahani kwa kusema hili, ukweli uliowazi ni hakuna sababu za msingi za watoto kusoma hizi shule za English medium.
Naongea kwa sababu hili suala nalifahamu kwa asilimia kubwa.
Tena kwa wazazi wanao dunduliza na kujibana samahani kwa kuwaita wapumbavu ambao ujinga, mihemko na maisha ya kuigana yamewatawala pia ufahamu wa masuala ya kielimu upo chini.
Hakuna elimu bora Tanzania amka acha kuwa mjinga wa mfumo wa kipuuzi uliowekwa katika jamii ili kutapeli wajinga.
You nailed it!Somesha mtoto wako kwa bidii ili ukubwani asije kuwa shabiki wa chelsea au yanga