Hivi kwanini huwa hamuweki fact ni kwanini haswa mnaona hakuna maana kusomesha mtoto English medium?? Naona wengi wenu mnaoleta mada hii huwa hamna hoja ya msingi hivyo mnaoneka wapiga porojo tu na mna wivu ndani yenu.
Unaanza kupangia matumizi hela watu wazima wenzako unawasidia kutafuta kila mtu atumie hela vile anavyotaka kama mtu anahonga na kunywa bia hela kibao itakuwa ubaya kusomesha mtt wake