KALINZI NYUMBANI
JF-Expert Member
- Jan 7, 2015
- 1,797
- 1,594
Hakuna mahala ndani ya nchi hii wanapolipa vizuri na kujali wafanyakazi wao kama sehemu tajwa hapo juu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na sasa wizi umepungua, kuna ma flow meterDEPO za mafuta hawana maajabu kinachowabeba ni Wizi
Bahati mbaya hawauzi maji.DEPO za mafuta hawana maajabu kinachowabeba ni Wizi
Bro hujatembea bado, migodini wapo for, lakini hawazidi UN, taasisi za kimataifa,Hakuna mahala ndani ya nchi hii wanapolipa vizuri na kujali wafanyakazi wao kama sehemu tajwa hapo juu.
SCADA.Na sasa wizi umepungua, kuna ma flow meter
Mi Mwenyewe.Source ?
Maelezo yanakuja.Uzi tayar au tusubir maelezo
Kama wizi wa TRA?.DEPO za mafuta hawana maajabu kinachowabeba ni Wizi
Hehehee sasa hapo unaibaje...ila zamani watu walkuwa wanapiga.SCADA.
Watoto wa wakulima wanapata nafasi huko, tena huko hakuna baba kanituma.Sisi tuliokuwa na uwezo wa kupata C na D huko tunapasikia kwenye bomba
Surveyor wanajua michezo yao na wenye madepo.Hehehee sasa hapo unaibaje...ila zamani watu walkuwa wanapiga.
depo ya mafuta huingii kama huna connection, pita depo zote alafu utafute walioingia bila pandeWatoto wa wakulima wanapata nafasi huko, tena huko hakuna baba kanituma.
depo ya mafuta huingii kama huna connection, pita depo zote alafu utafute walioingia bila pandeWatoto wa wakulima wanapata nafasi huko, tena huko hakuna baba kanituma.
Ni kwel kabisa,niliwah kuona tangazo kwa wanachuo,mgodi mmoja hapa nchini unatoa nafas za kaz kwa ambao watakuwa na G.P.A ya kuanzia 4.5Watoto wa wakulima wanapata nafasi huko, tena huko hakuna baba kanituma.