RUSTEM PASHA
JF-Expert Member
- Jan 26, 2016
- 4,707
- 11,365
Depo hakuna connection sema kazi zake zikitangazwa wanapitia recruitment agency kwahio huwezi kuona depo fulani wanatangaza kazi.depo ya mafuta huingii kama huna connection, pita depo zote alafu utafute walioingia bila pande
Mkuuu ogopa Mbongo, vijana wanapiga haswaaa.Na sasa wizi umepungua, kuna ma flow meter
Nimefanya kazi huku, connection ni kuanzia intern kabisa....pia kama connection yako sio strong utapata mkataba wa mwaka mmoja mmoja, lkn kama ni strong, permanent inakuhusu...Depo hakuna connection sema kazi zake zikitangazwa wanapitia recruitment agency kwahio huwezi kuona depo fulani wanatangaza kazi.
Nazingumza hili nikiwa na ushahidi wa watu zaid ya watatu nao wafahamu. Kwahili nakubaliana na jamaa.
Sawa mkuu.Nimefanya kazi huku, connection ni kuanzia intern kabisa....pia kama connection yako sio strong utapata mkataba wa mwaka mmoja mmoja, lkn kama ni strong, permanent inakuhusu...
HIzi depo zinaendeshwa kijanja janja sana, kifupi biashara ya mafuta inaendeshwa kijanja janja sana kwahiyo hawatoi nafas hiv hiv
Bahati mbaya flowmeters zinafanyiwa calibrations na verification na taasisi Moja hapo ndio kwenye upigaji baada ya calibrations. Ngoja nisimwage mchuzi wawatu.Mkuuu ogopa Mbongo, vijana wanapiga haswaaa.
Sijui kwa nini huwa naanmini connection huwa wanahangaika nazo watu wenye uwezo mdogo?you can prove me wrong mkuu..depo ya mafuta huingii kama huna connection, pita depo zote alafu utafute walioingia bila pande
serikalini kwa sasa upo sahihi...lakini huko kwenye mafuta, utasumbuka sana na uwezo wakoSijui kwa nini huwa naanmini connection huwa wanahangaika nazo watu wenye uwezo mdogo?you can prove me wrong mkuu..
Kwenye mafuta bila connection unaingia tu.Sijui kwa nini huwa naanmini connection huwa wanahangaika nazo watu wenye uwezo mdogo?you can prove me wrong mkuu..
Mwenyewe nakunja 5.5M nje ya emoluments kibao. Karibu Geita madai.Source ?
O.p wa excavator nipo.Mwenyewe nakunja 5.5M nje ya emoluments kibao. Karibu Geita madai.