Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Naunga mkono hojaBaba wa hao wote ni breaking bad. Sitaki nyongeza wala punguzo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naunga mkono hojaBaba wa hao wote ni breaking bad. Sitaki nyongeza wala punguzo
kipindi hicho hakukuwa na uwekezaji wa kutosha jwenye series za gangs na drugs, kwa sasa uwanja umebadilika kabisa.Sikupingi mkuu, Omar na Brother Mouzone aisee umenikumbusha mbali sana
Kwako mkuu, kwangu mimi hizo umeweka hapo bado hazisogelei hata kidogo huu moto. Pia kazi nzuri haitegemei uwekezaji, ingekuwa hivo movies za kina James Bond zingekuwa za kawaida pia.kipindi hicho hakukuwa na uwekezaji wa kutosha jwenye series za gangs na drugs, kwa sasa uwanja umebadilika kabisa.
kwa sasa imepigwa gap refu sana na snowfall, narcos, power, n.k.
Narcos inaelezea waasisi wakubwa wa biashara ya sembe Marekani kina Pablo na El Chapo, Maboss wakubwa wa hizi biashara nchini Marekani ni walatino kutoka Mexico, Columbia, n.k. weusi hawasogelei hizo levels, hao the wire ni level za chini.Kwako mkuu, kwangu mimi hizo umeweka hapo bado hazisogelei hata kidogo huu moto.
Power, Narcos zote za kawaida tu upande wangu, angalau Snowfall bwana mdogo Franklin alileta mabalaa makubwa ila kwa The Wire bado pia.
Mkuu hizi zote unanambia nimeziona, mpaka El Chapo series nimeona, mpaka Zero Zero Zero ambayo nai rate karibu kabisa na hiyo Narcos kwahiyo naongea nachokijua.Narcos inaelezea waasisi wakubwa wa biashara ya sembe Marekani kina Pablo na El Chapo, Maboss wakubwa wa hizi biashara nchini Marekani ni walatino kutoka Mexico, Columbia, n.k. weusi hawasogelei hizo levels, hao the wire ni level za chini.
Power ipo well scripted, mazingira ya kufanya biashara ni mjini kati sio kama the wire ni ndani ndani huko mitaa ya uswazi ya kimarekani, Ni family business mtoto na yeye anaanza kumuiga baba
Narcos zote ni nzuri. Lakini ubora wa series hatuangalii ukubwa wa kitu inachosimulia, bali namna ilivyosimulia. The Wire inakufanya nawe unakuwa kama unayaishiNarcos inaelezea waasisi wakubwa wa biashara ya sembe Marekani kina Pablo na El Chapo, Maboss wakubwa wa hizi biashara nchini Marekani ni walatino kutoka Mexico, Columbia, n.k. weusi hawasogelei hizo levels, hao the wire ni level za chini.
Power ipo well scripted, mazingira ya kufanya biashara ni mjini kati sio kama the wire ni ndani ndani huko mitaa ya uswazi ya kimarekani, Ni family business mtoto na yeye anaanza kumuiga baba
Power ilibidi ianze hapoThe wire niliicheki 2009, kwa enzi hizo ilikuwa top kwenye series za drugs and gangs.
kipindi hicho hakukuwa na uwekezaji wa kutosha kwenye series za gangs na drugs, kwa sasa uwanja umebadilika kabisa.
series zangu kali za gangs na drugs, ikiwemo the wire
- Narcos
- Snowfall
- Breaking Bad
- Power
- The wire
- Gomorrah
- Godfather of Harlem
- Top boy
nyingine hizi hapa ila sikuzipenda
- Sopranos - iliniboa kuna kipindi inazungumzia zaidi mambo ya kifamilia
- Queen of the south - wamefanya biashara ya madawa ionekane ni nyepesi na yenye huruma
- Black Mafia family - inawafaa Teenagers
Cuz I said so. Ogopa series nimeirudia mara kadhaa.Hell nah breaking bad is overrated ila mmekariri cz they say so
Niliacha kuangalia The wire episode za Mwanzo sana, kile kiingereza wanachoogea nilishindwa kuelewa.Narcos zote ni nzuri. Lakini ubora wa series hatuangalii ukubwa wa kitu inachosimulia, bali namna ilivyosimulia. The Wire inakufanya nawe unakuwa kama unayaishi
yale maisha. Kuanzia convo, uigizaji na hisia, vyote ni vya kiwango cha juu sana.
Pia waigizaji wale ni moja ya waigizaji wa quality ya juu sana duniani. Mtu kama Idris Elba, jamaa aliyeigiza Omar, Cedric nk nk. Juzi nimefahamu kumbe na Michael B Jordan alikuwepo-chalii. Ile ni Cast
eeh ngoja nione kama WAFIM TV WAMEZIWEKAThe wire niliicheki 2009, kwa enzi hizo ilikuwa top kwenye series za drugs and gangs.
kipindi hicho hakukuwa na uwekezaji wa kutosha kwenye series za gangs na drugs, kwa sasa uwanja umebadilika kabisa.
series zangu kali za gangs na drugs, ikiwemo the wire
- Narcos
- Snowfall
- Breaking Bad
- Power
- The wire
- Gomorrah
- Godfather of Harlem
- Top boy
nyingine hizi hapa ila sikuzipenda
- Sopranos - iliniboa kuna kipindi inazungumzia zaidi mambo ya kifamilia
- Queen of the south - wamefanya biashara ya madawa ionekane ni nyepesi na yenye huruma
- Black Mafia family - inawafaa Teenagers
Aisee hiyo hata mimi inanipa shida sana, episode inaisha hujajua kilichokua kinaendelea mule ni nini mpaka kusoma kwanza mtandaoni then ndo uendelee.Niliacha kuangalia The wire episode za Mwanzo sana, kile kiingereza wanachoogea nilishindwa kuelewa.
Kuna hii halafu kuna “we own this city”, produce wa the wire amehusika napo pia japo character tofauti kabisaNiliwahi sema kuwa The Sopranos ndiyo series kali ya muda wote, nilikuwa sijaangalia The Wire. Hakuna series kali kama hii. Ni kama unaangalia maisha halisi ya watu. Hii series hadi vyuoni inafundishwa.
View attachment 3066642
Download subtitle mtandaoni. Siwezi kuangalia series au movie bila subtitle.Tayari nmemaliza Episode 4 season 1.
Daah hii kitu ni ngumu kumeza especially kama unaangalia bila subtitles.
Kile kiingereza cha mule kinakuacha patupu kabisaa, imenibidi nikasome reviews mtandaoni kila nnapomaliza episode ili nielewe plot inavyoenda then narudia episode husika.
Mpaka sasa naona ni ya kawaida but kwakua bado ni mwanzo, wacha niende nayo taratibu.