Hakuna series kali kama The Wire

Hakuna series kali kama The Wire

Sikupingi mkuu, Omar na Brother Mouzone aisee umenikumbusha mbali sana
kipindi hicho hakukuwa na uwekezaji wa kutosha jwenye series za gangs na drugs, kwa sasa uwanja umebadilika kabisa.

kwa sasa imepigwa gap refu sana na snowfall, narcos, power, n.k.
 
Kwako mkuu, kwangu mimi hizo umeweka hapo bado hazisogelei hata kidogo huu moto. Pia kazi nzuri haitegemei uwekezaji, ingekuwa hivo movies za kina James Bond zingekuwa za kawaida pia.

Power, Narcos zote za kawaida tu upande wangu, angalau Snowfall bwana mdogo Franklin alileta mabalaa makubwa ila kwa The Wire bado pia.
 
Kwako mkuu, kwangu mimi hizo umeweka hapo bado hazisogelei hata kidogo huu moto.

Power, Narcos zote za kawaida tu upande wangu, angalau Snowfall bwana mdogo Franklin alileta mabalaa makubwa ila kwa The Wire bado pia.
Narcos inaelezea waasisi wakubwa wa biashara ya sembe Marekani kina Pablo na El Chapo, Maboss wakubwa wa hizi biashara nchini Marekani ni walatino kutoka Mexico, Columbia, n.k. weusi hawasogelei hizo levels, hao the wire ni level za chini.

Power ipo well scripted, mazingira ya kufanya biashara ni mjini kati sio kama the wire ni ndani ndani huko mitaa ya uswazi ya kimarekani, Ni family business mtoto na yeye anaanza kumuiga baba
 
Mkuu hizi zote unanambia nimeziona, mpaka El Chapo series nimeona, mpaka Zero Zero Zero ambayo nai rate karibu kabisa na hiyo Narcos kwahiyo naongea nachokijua.

Mkuu unanisimulia Power kweli huwezi kuwa serious, nmeona mpka hizo Book II za kina Taric na Force ya Tommy Egan. The wire kwangu still ni the best
 
Dah Breaking Bad is one of the best kama sio ndio the best

Kwanini??

Ni ule mtiririko wa matukio unakifanya uipende hiyo series

All in all tukiacha madawa

'Lost' itabaki kuwa one of the greatest series ever

Ile Plot tu na idea unajiuliza huyu alieiandika aliwaza nini, ila mtiririko wa matukio ndio kabisa inaweza sema aliichora Alien

Japo episode za mbeleni karibia mwishoni walizingua lakini haiondoi ukweli kuwa ni bora sana
 
Narcos inaelezea waasisi wakubwa wa biashara ya sembe Marekani kina Pablo na El Chapo, Maboss wakubwa wa hizi biashara nchini Marekani ni walatino kutoka Mexico, Columbia, n.k. weusi hawasogelei hizo levels, hao the wire ni level za chini.

Power ipo well scripted, mazingira ya kufanya biashara ni mjini kati sio kama the wire ni ndani ndani huko mitaa ya uswazi ya kimarekani, Ni family business mtoto na yeye anaanza kumuiga baba
Narcos zote ni nzuri. Lakini ubora wa series hatuangalii ukubwa wa kitu inachosimulia, bali namna ilivyosimulia. The Wire inakufanya nawe unakuwa kama unayaishi
yale maisha. Kuanzia convo, uigizaji na hisia, vyote ni vya kiwango cha juu sana.

Pia waigizaji wale ni moja ya waigizaji wa quality ya juu sana duniani. Mtu kama Idris Elba, jamaa aliyeigiza Omar, Cedric nk nk. Juzi nimefahamu kumbe na Michael B Jordan alikuwepo-chalii. Ile ni Cast
 
The wire niliicheki 2009, kwa enzi hizo ilikuwa top kwenye series za drugs and gangs.

kipindi hicho hakukuwa na uwekezaji wa kutosha kwenye series za gangs na drugs, kwa sasa uwanja umebadilika kabisa.

series zangu kali za gangs na drugs, ikiwemo the wire

  1. Narcos
  2. Snowfall
  3. Breaking Bad
  4. Power
  5. The wire
  6. Gomorrah
  7. Godfather of Harlem
  8. Top boy

nyingine hizi hapa ila sikuzipenda

  1. Sopranos - iliniboa kuna kipindi inazungumzia zaidi mambo ya kifamilia
  2. Queen of the south - wamefanya biashara ya madawa ionekane ni nyepesi na yenye huruma
  3. Black Mafia family - inawafaa Teenagers
Power ilibidi ianze hapo
 
Niliacha kuangalia The wire episode za Mwanzo sana, kile kiingereza wanachoogea nilishindwa kuelewa.
 
Kwangu Mimi snowfall is overrated... The wire iko poa sana realistic hizi nyingine too much drama..... Generation ya kuangalia the wire..sopranos,,oz breaking bad,,, wamebaki wachache sana wengi wako busy na mitaksi nyingineadogo wa siku izi wanapenda drama tu kwenye tv shows
 
Aise
The wire niliicheki 2009, kwa enzi hizo ilikuwa top kwenye series za drugs and gangs.

kipindi hicho hakukuwa na uwekezaji wa kutosha kwenye series za gangs na drugs, kwa sasa uwanja umebadilika kabisa.

series zangu kali za gangs na drugs, ikiwemo the wire

  1. Narcos
  2. Snowfall
  3. Breaking Bad
  4. Power
  5. The wire
  6. Gomorrah
  7. Godfather of Harlem
  8. Top boy

nyingine hizi hapa ila sikuzipenda

  1. Sopranos - iliniboa kuna kipindi inazungumzia zaidi mambo ya kifamilia
  2. Queen of the south - wamefanya biashara ya madawa ionekane ni nyepesi na yenye huruma
  3. Black Mafia family - inawafaa Teenagers
eeh ngoja nione kama WAFIM TV WAMEZIWEKA
 
Tayari nmemaliza Episode 4 season 1.

Daah hii kitu ni ngumu kumeza especially kama unaangalia bila subtitles.

Kile kiingereza cha mule kinakuacha patupu kabisaa, imenibidi nikasome reviews mtandaoni kila nnapomaliza episode ili nielewe plot inavyoenda then narudia episode husika.

Mpaka sasa naona ni ya kawaida but kwakua bado ni mwanzo, wacha niende nayo taratibu.
 
Niliacha kuangalia The wire episode za Mwanzo sana, kile kiingereza wanachoogea nilishindwa kuelewa.
Aisee hiyo hata mimi inanipa shida sana, episode inaisha hujajua kilichokua kinaendelea mule ni nini mpaka kusoma kwanza mtandaoni then ndo uendelee.
 
Niliwahi sema kuwa The Sopranos ndiyo series kali ya muda wote, nilikuwa sijaangalia The Wire. Hakuna series kali kama hii. Ni kama unaangalia maisha halisi ya watu. Hii series hadi vyuoni inafundishwa.

View attachment 3066642
Kuna hii halafu kuna “we own this city”, produce wa the wire amehusika napo pia japo character tofauti kabisa
 
Tayari nmemaliza Episode 4 season 1.

Daah hii kitu ni ngumu kumeza especially kama unaangalia bila subtitles.

Kile kiingereza cha mule kinakuacha patupu kabisaa, imenibidi nikasome reviews mtandaoni kila nnapomaliza episode ili nielewe plot inavyoenda then narudia episode husika.

Mpaka sasa naona ni ya kawaida but kwakua bado ni mwanzo, wacha niende nayo taratibu.
Download subtitle mtandaoni. Siwezi kuangalia series au movie bila subtitle.
 
Back
Top Bottom