Hakuna Shamra shamra za uchaguzi mwaka huu hapa mtaani kama miaka mingine kulikoni

neno ni upanga

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2022
Posts
727
Reaction score
2,421
Wakuu nimeshuhudia miaka mingi ya uchaguzi miezi kama hìi kunakuwa na shamra shamra za uchaguzi! Mwaka huu kulikoni au kwa sababu mshindi alishapatikana???
 
Waleta shamrashamra ni upinzani hasa cdm. Na kwakuwa cdm wamegoma kusaini maadili ya uchaguzi wa kihuni ndio maana watu wamepoteza hamasa. Hata hivyo zitakuja hamasa kuanzia mwenzi wa saba baada ya bunge kuvunjwa, kwani hela za rushwa zitaanza kugaiwa na hekaheka za walevi zitaanza. Hata hivyo iwapo cdm hawatashiriki utakuwa ni uchaguzi wenye wapiga kura wachache mno.
 
Wakuu nimeshuhudia miaka mingi ya uchaguzi miezi kama hìi kunakuwa na shamra shamra za uchaguzi! Mwaka huu kulikoni au kwa sababu mshindi alishapatikana???
Huku kwetu mambo ni moto.Watu wanasema kura kwa ACT au CHAUMMA.Watashiriki uchaguzi kikamilifu kususa uchaguzi ni ujinga
 
Huwezi kulisimamisha gari lililofeli breki ikiwa umo ndani yake
 
Sasa INEC wameshapewa maagizo ya kuwatangaza wagombea wote wa CCM kushinda kwa 99% kuna uchaguzi tena hapo? Nitawashangaa sana hata wanaccm ambao watapoteza muda wao kwenda kuapnga foleni kupiga kura wakati matokeo tayari yako INEC.
 
Wakuu nimeshuhudia miaka mingi ya uchaguzi miezi kama hìi kunakuwa na shamra shamra za uchaguzi! Mwaka huu kulikoni au kwa sababu mshindi alishapatikana???
Si kashajitangaza yeye ataongoza hadi 2030! Na timu ya kuthibitisha ushindi keshaipanga, tukafanye nini sasa?

Tunasubiria pale kituo watakapotangaza kura nyingi kuliko wapiga kura!! 😁 😁
 
Wakuu nimeshuhudia miaka mingi ya uchaguzi miezi kama hìi kunakuwa na shamra shamra za uchaguzi! Mwaka huu kulikoni au kwa sababu mshindi alishapatikana???
No reform No Election imebamba bila CDM hype inatoka wapi tawala ndio huyo wakubeba watu kwenye malori kama mifugo ameshaishiwa pumzi
 
Uchaguzi HAUPO mwaka huu we endelea na hamsini zako.

CCM watachaguana wenyewe.
 
Wakuu nimeshuhudia miaka mingi ya uchaguzi miezi kama hìi kunakuwa na shamra shamra za uchaguzi! Mwaka huu kulikoni au kwa sababu mshindi alishapatikana???
Kuna mchina na mzungu wanachafua Sana hali ya hewa na N..R N. E mitaani 😂😂
 
Wakuu nimeshuhudia miaka mingi ya uchaguzi miezi kama hìi kunakuwa na shamra shamra za uchaguzi! Mwaka huu kulikoni au kwa sababu mshindi alishapatikana???
Mimi nitaanza kula keki yangu kuanzia saa 11 asubuhi Hadi saa 1 jioni mtoto hatumwi dukani
 
Back
Top Bottom