Hamna wanalofanya.... Sema tu wana blood ties ila G nako ilibidi asepeMi sjui hata hao weusi wanaimba nini, nyimbo hazieleweki sjui wanaimba ki-lugha khaaa...comment ya ukanda na ukabila ndo inayowabeba weusi kwa kupata show pale clouds hakuna kingine kwa kweli
Na kennedy the remedy pia chuga mojamkuu wa bongo fleva clouds.. ni b 12.. na b12 ni mtoto wa arusha, hawezi watosa jamaa zake.. msaidizi wa b 12 ni adam mchomvu nae mtoto wa arusha.. wanajua wakiwatosa weusi wakirudi likizo makwao arusha watatengwa na jamaa wa kitaa..
so wasanii wa arusha wana nafasi sana clouds.. na weusi ndio best wasanii wa arusha.. so wanapewa chance wao sana
Najizuia kuingia kwenye mtego wa huu uzi,
Ila konk master aliliongelea vyema sana hili la kubebwa kwa weusi na uhusiano wa Jux na Joh makini na huyo b12. Sitaki kurudia alichokisema ni bora nikaishia hapa.
Siku hizi haimbi anatafuta namna ya kuwapekenyua watoto wa kike tu,zamani Joh ndio alikuwa anaimbaHivi nikisikiliza “hao” na “chochote popote “ by joh makini na nikimsikiliza now naona kama sio yeye. Zamani Ali kuwa anajua now hii mida ya wakubwa sijui watoto wamelala I think bangi anazovuta hazina viwango.
Wengine tupo kolomije hatukumsikia!Najizuia kuingia kwenye mtego wa huu uzi,
Ila konk master aliliongelea vyema sana hili la kubebwa kwa weusi na uhusiano wa Jux na Joh makini na huyo b12. Sitaki kurudia alichokisema ni bora nikaishia hapa.
Chemba chemba au chembaaaaaaa?Konki alisema hao mafundi bomba, wanazibua chemba.
Daah nomaNajizuia kuingia kwenye mtego wa huu uzi,
Ila konk master aliliongelea vyema sana hili la kubebwa kwa weusi na uhusiano wa Jux na Joh makini na huyo b12. Sitaki kurudia alichokisema ni bora nikaishia hapa.