Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 11,191
- 35,870
KAA MBALI NA ZINAA
Michepuko ni malaya waliochangamka, dada wa shetani na mashine ya ilioundwa kutoka sodoma kwa ajili ya mapenzi thus kuhusu aibu na majuto, sahau kabisaaa.
Anafurahia kwa maana anajua anatikisa ngome ya ndoa ambayo anaona inapewa promo sana huku yeye dunia yake inaonekana ya kihuni.
Anafurahia kwa maana anajua wewe pamoja na yeye mtakubali kuwa kundi moja la kuitwa wazinzi na wahuni🤣