Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angetoroka maandiko yasingetimiaKwanini Yesu hakutoroka msalabani ukizingatia uwezo wa kutoroka alikuwa nao?
asiye na jinsia ya kueleweka au mwenye jinsia ya kueleweka mkuu.Taja mnyama asiye na jinsia ya kueleweka
Okay, wakati Mungu anamuumba kiumbe wake mpendwa (lucifer) hakujua tarehe fulani huyo kiumbe wake atamuasi?Angetoroka maandiko yasingetimia
Mwenye jinsia zaidi ya mojaasiye na jinsia ya kueleweka au mwenye jinsia ya kueleweka mkuu.
Mwenye jinsia zaidi ya moja
Je, unafikiri wewe ulitakiwa kuumbwa? Na kama ni ndiyo ni kwa sababu zipi? Na kama sio ni kwa sababu zipi?Okay, wakati Mungu anamuumba kiumbe wake mpendwa (lucifer) hakujua tarehe fulani huyo kiumbe wake atamuasi?
Kama alijua, kwanini hakumboresha ili asiasi au kughairi kumuumba...
Umepatia 👏👏👏Fisi
Nimekuuliza swali na wewe unaniuliza swali kabla hujajibu swali langu? Uko timamu kweli?Je? Unafikiri wewe ulitakiwa kuumbwa? Na kama ni ndiyo ni kwa sababu zipi? Na kama sio ni kwa sababu zipi?
Jogoo qliyewika wakati Petro anamkanna Yesu alikuwa na rangi ganiKama lipo uliza Hapa watu wa kujibu[emoji847]
HalizungukiJua linazunguka..??
Konokono ni mnyama au mdudu?Mwenye jinsia zaidi ya moja
ilov youKonokono ni mnyama au mdudu?
Kama halizunguki.. mbona kuna usiku na mchana...?Halizunguki
Kuna njia mbili za kujibu swali kuna kujibu swali kwa jibu husika "Direct way" na kujibu swali kwa swali wana falsafa wanaita "maieutics" au "socratic".Nimekuuliza swali na wewe unaniuliza swali kabla hujajibu swali langu? Uko timamu kweli?