Hakuna swali lisilo na Majibu

Hakuna swali lisilo na Majibu

Angetoroka maandiko yasingetimia
Okay, wakati Mungu anamuumba kiumbe wake mpendwa (lucifer) hakujua tarehe fulani huyo kiumbe wake atamuasi?
Kama alijua, kwanini hakumboresha ili asiasi au kughairi kumuumba?

Kama alijua na anamuumba tu huoni shetani hana kosa bali mwenye makosa ni Mungu?

Je, siku ya mwisho tukimuuliza Mungu haya maswali atatuacha salama kweli au ndio atatumia ule udikteta wake kama ilivyo kawaida?

Nasubiri majibu
 
Okay, wakati Mungu anamuumba kiumbe wake mpendwa (lucifer) hakujua tarehe fulani huyo kiumbe wake atamuasi?
Kama alijua, kwanini hakumboresha ili asiasi au kughairi kumuumba...
Je, unafikiri wewe ulitakiwa kuumbwa? Na kama ni ndiyo ni kwa sababu zipi? Na kama sio ni kwa sababu zipi?
 
Nimekuuliza swali na wewe unaniuliza swali kabla hujajibu swali langu? Uko timamu kweli?
Kuna njia mbili za kujibu swali kuna kujibu swali kwa jibu husika "Direct way" na kujibu swali kwa swali wana falsafa wanaita "maieutics" au "socratic".

Hivyo kwa msingi huo nimekujibu swali lako .

N.b
Heshimu kila mtu ,jaribu kutumia lugha nzuri unapojadiliana na kila mtu .
 
Back
Top Bottom