Hakuna swali lisilo na Majibu

Hakuna swali lisilo na Majibu

Kwanini alama za wavuka kwa miguu yaani zebra zimewekwa tofauti na barabara yaani vertical/horizontal
 
Marage ni chakula cha protin je ni marage ya namna gani yana protini yale yaliyo iva au yale mabichi...?
 
Kuna uwezekano wa kutoa haemoglobin kwenye damu... Na ukitoa kimiminiki kitakachobaki ni nini..?
 
Back
Top Bottom