Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Achana na falsafa jibu swali wewe....😂😂😂Kuna njia mbili za kujibu swali kuna kujibu swali kwa jibu husika "Direct way" na kujibu swali kwa swali wana falsafa wanaita "maieutics" au "socratic".
Hivyo kwa msingi huo nimekujibu swali lako .
N.b
Heshimu kila mtu ,jaribu kutumia lugha nzuri unapojadiliana na kila mtu .