Hakuna Taifa lililoendelea kwa ziara za Rais Nje ya Nchi

Tanzania ni nchi ya wapigaji utasemaje nchi kama hii itaendelea kama sisi wenyewe tunaendekeza rushwa na umimi . bora tutawaliwe tu
 
Foreign Direct Investment ni muhimu katika kuzalisha ajira, hebu tuambie strategy gani wewe unaweza kuitumia kupromote ajira?

#Mama zunguka tuletee wawekezaji vijana wapate ajira,waoe wawe na familia na wao wawekeze waajiri wengine.
Ukiwa na infrastructure watakuja wenyewe, mfano sasa hivi Balozi nyingi hawezi kuhamisha staff wao wengi Dodoma sababu hakuna Shule kwa ajili ya watoto wao na recreation areas.
 

Kumbe kuna wakati akili zinakurejea 👍
 
Tunaweka mazingira mazuri ya uwekezaji ndio , at the expense ya kurisk rasilimali zetu lakini tunachokipata hakilingani na risk yenyewe.

Hivi unvyoandika huko mkoani Singida ambako wawekezaji wa SHANTA GOLD karibu wanaanza uchimbaji ; Wizara ya madini imeishaanza kuwanyang'anya wachimbaji wadogo wadogo leseni kwa kigezo kuwa hawajakidhi masharti ili tu waweze kuwapa Ardhi hiyo hao wawekezaji!!

Rais Samia lazima aelezwe ili ajue kuwa hilo zoezi la kuwanyang'anya wananchi ardhi na kuwapa wawekezaji huko Sambaru mkoani Singida linaweza kuleta uvunjifu wa Amani. Suala la kuwanyang'anya leseni wachimbaji wadogo huko Sambaru lisitishwe na kuangaliwa upya na kwa haraka!! Haya mambo ya Ardhi sio ya kuyafamnyia mzaha, mnawanyang'anya wananchi halafu mnawapa wageni hiyo akili Kweli?
 
Hizi ndio akili za kimawia,badala ya kujadili hoja umebaki tu kusema sukuma gang,je na hao msoga/ zenj gang ndio hawakosei au wana lipi jipya la zaidi ?
Ebu tuliza mshono basi wewe sukuma push
 
Nimejitahidi kuuzuia ulimi wangu usitamke baya juu yako.

USA anavutia FDI from Switzerland, Japana etc wewe ni nani hata usitake investments kwenye nchi yako? Kwanini tuwe na TIC? Kwani hizo ajirq from Investors si ndio PAYE,SDL,WITHHOLDING TAXES and so on?

Kwa bahati mbaya umejaribu kutaja hadi vyuo kujustfy your outspoken words.

Pole sana.
 
Toa njia mbadala wewe sasa.maana unaposema Hilo siyo sahihi Ina maana wewe unaijua njia iliyo sahihi kuendeleza uchumi wa nchi yetu.
 
Kuna Maneno yaliwahi kuongelewa na waliokuwa viongozi wetu toka awamu ya kwanza hadi ya 4 kuhusu maendeleo yetu , inafaa kuzirejea hizi kauli hapa.
Mmoja nakumbuka alisema kuna hela nyingi huko nje , ukipiga story tu zinakuja
 
Kuna memory unasema " rizki ya mbwa ipo miguuni mwake.."

Akienda huko akaokota walau fupa basi anawaletea watoto wake wanakula siku inapita....

By JK.
 
Mtanzania bhana hivi hiki kizazi bado kipo ! na kwanini huu uzi usifutwe ? Mie naona umeandika ujinga tu . Na kama ungelikuwa karibu yangu ningekupiga bullet ya kichwa nikumwage ubongo
 
Watanzania katika ubora wa ujuaji wetu. Rais akikaa ndani anaambiwa muoga wa ulimwengu wa kimataifa. JPM alitekeleza ushauri wa mada hii akaishia kuitwa mshamba anayeogopa lugha ya kingereza.
 
Rais na wajumbe wake kusafiri nje ya nchi ni tija in kwao na si kuwa nchi. Wanalipwa posho kubwa sana. Wawekezaji wanao kuja hawarudi, kisa ni maneno ya mdomoni, hakuna sheria iliorekebishwa hata moja tangu Magufuli msigina katiba aondoke.
 
juzi tu, watu WALIKUWA wanamsema magufuli,hatoki,kajifungia,anaogopa ndege.
Leo tena lawama mama kiguu na njia,mama hatulii,mama hakai nyumbani.
Lipi Bora kwenu
 
Pia hakuna Taiga lililoendelea Kwa rais kutosafiri nje ya nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…