Mimi nakubaliana na wewe sana, FDIs ndio muarobaini wa kukua kiuchumi na sekta ya ajira, uwekezaji mkubwa wa viwanda na sekta nyingine utaleta forex, mzunguko wa pesa na kuongeza ajira,exports etc hivyo hana budi yeye kwenda huko na kuwapa confort wawekezaji, ili waweze kupata imani (confort) na kuleta mitaji yao.Uwepo wa kiongozi mkuu wa nchi sehemu husika na kutoa confort kutoka kwenye kinywa chake ni jambo muhimu sana, Angalia kagame hapo nyuma alibadilisha mfumo na kusafiri kwa nia ya kuwafuata na kuvutia wawekezaji,sasa hivi Rwanda imebadilika sana,kiuwekezaji mpaka viwanda vya magari etc. kuhusu swala la Work permit, hilo lipo kisheria kwamba lazima kuwe na succession plan kwa wazawa, pia ndio incentives za kiuwekezaji,lakini hata wewe umewekeza mtaji wako kwa mara ya kwanza tena mkubwa ili uwe na amani lazima key possitions uweke mtu/watu wako unayemuamini then utatrain na kujenga imani taratibu kwa wengine.Na makampuni mengi nafasi nyingi ni za wazawa kwasababu ni gharama sana kuajiri expatriates kwa kila sekta maana kuwagharamia ni ngumu, na itakuwa ngumu pia kubreak even.so nikiwind up kwa kinywa chake mwenyewe Mama alitamka safari atakazozifanya ni za kuleta maendeleo na siyo za starehe,kwa hilo tumsupport,
Uzuri mwendazake kuna misingi aliyotuwekea na kutupa utimamu wa maswala mengi (tuliyokuwa tunachezewa na kupigwa) hasa negotiations skills za kimkataba, na kuhakikisha win win inakuwepo hivyo ni ngumu sana "kudepart" from his theories,kwa hiyo tupo vizuri.Ijumaa kareem