Hakuna Taifa linaloitwa Palestina liliwahi exists tangu dunia iumbwe kumbe

Nyuzi mujarab Facts tupu kwenye Quruani hakuna Palestina kwenye Arabic Language hakuna herufi "P"

Israel imetajwa mara nyingi sana kwenye Quruani.
Israeli imetajwa wapi kwenye Quran kuwa ni taifa?! Acheni kuzungumza mambo msiyokuwa na elimu nayo! Wengi wenu hiyo Quran hata kuishika hamjui lakini mmekaa kuisingizia mambo ya uongo tu.
بنو إسرائيل ( banuu Iraaiyl, watoto au kizazi cha Israaiyl ambaye ni Nabii Yaaquwb) wametajwa kama kabila na siyo taifa wala siyo nchi.
 
G
Good! Kimsingi hakuna nchi inaitwa Palestina wala hakuna kabila linaitwa Palestina. Ni waarabu wachache tu wasiotaka kuwa chini ya Israel ndio wanaleta mzozo bila sababu. Wanaongozwa na mihemko ya kidini. Mbona kuna waarabu tu wengi wanaishi Israel kwa kufuata sheria za nchi hiyo bila shida? Na wanapewa uhuru wa kuabudu?
 
Sawa msemaji wa Neta umesikika 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Waliosoma mpaka form six wanafahamu namna gani taifa la israeli liliundwa kwa msaada mkubwa wa mataifa ya magharibi. Palestine zamani ilikaliwa na uingereza na hivyo basi kabla ya hapo kuna mikataba lukuki ilifanyika ili kuboresha namna ya kuhalalisha ukaliwaji wa wa palestine dhidi ya taifa la israel. Hakuna hata sehemu moja katika dunia katika documentary yoyote inayoruhusu taifa moja kulikalia taifa jingine kwa mabavu kwa maslahi ya mataifa makubwa ya magharibi. HII NI MAUAJI YA HALAIKI MAUAJI HAYA NI KINYUME CHA SHERIA ZA KIMATAIFA NA SISI KUUNGA MKONO MAUAJI YOYOTE KWA WATU MADHULUMU WATOTO ,WANAWAKE WAZEE KWA HALI YOYOTE ILE BILA KUJALI NI WATU WA ITIKADI YA DINI GANI. KUFANYA HIVYO NI HATUA YA UWENDAWAZIMU NA SIO HATUA YA URAZINI UBINADAMU
 
Hizi stories mnazoleta mnajiabisha.
Hizo himaya ulizozitaja ziliwahi ku exist wakati mmoja na kila moja iliiongoza Palestina kwa wakati wake.
Sawa hakukuwahi kuwepo na Palestina,ila je KULIWAHI KUWEPO NA ISRAEL!?
Mwaka wa kupatikana uhuru wa Palestina unajulikana na aliyeitawala Palestina anajulikana.
Je unamjua aliyeitawala Israel!?
Bora hata Palestina ilikua moja ya majimbo ya hizo caliphates and sultanates ila Israel haikuwahi ku exist.
Halafu hizo himaya usiziorodheshe kwa mafungu kana kwamba zote zilitkuwepo sehemu moja.
Kila moja ilikua na mako makuu yake na Himaya yake.
Tena kuna zingine zilitokea kwa wakati mmoja zikigombania ukuu.
 
Na wakaanani na wamisri walikua jamii ya watu.weusi,yaani Canaan ni Wana WA ham na ham maana yake "ngozi iliyoungua, Sasa Hawa waisrael.weupe walianza lini kuwepo!!?

Hawa waisrael waliopo tunaaaminije kama kweli ni taifa takatifu!!?wakati ni wazungu weupe!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…