Kavimbe
Member
- May 9, 2023
- 51
- 80
Al-Isra' 17:1Na hakuna sehemu imeandikwa israhell kama ipo ileteni
سُبْحَٰنَ ٱلَّذِىٓ أَسْرَىٰ بِعَبْدِهِۦ لَيْلًا مِّنَ ٱلْمَسْجِدِ ٱلْحَرَامِ إِلَى ٱلْمَسْجِدِ ٱلْأَقْصَا ٱلَّذِى بَٰرَكْنَا حَوْلَهُۥ لِنُرِيَهُۥ مِنْ ءَايَٰتِنَآۚ إِنَّهُۥ هُوَ ٱلسَّمِيعُ ٱلْبَصِيرُ
SUBHANA, Ametakasika aliye mchukua mja wake usiku mmoja kutoka Msikiti Mtukufu mpaka MSIKITI WA MBALI, ambao tumevibariki vilivyo uzunguka, ili tumuonyeshe baadhi ya Ishara zetu. Hakika Yeye ni Mwenye kusikia na Mwenye kuona.
English -
Exalted[1] is He who took His Servant [i.e., Prophet Muḥammad (ﷺ)] by night from al-Masjid al-Ḥarām to al-Masjid al-Aqṣā,[2] whose surroundings We have blessed, to show him of Our signs. Indeed, He is the Hearing,[3] the Seeing.[4].
* Katika hizo Aya kuna neno MSIKITI WA MBALI au MASJID AL AQSA. Jee msikiti huu upo wapi?