Hakuna taifa linaloweza endelea kwa kuongeza tozo bali kwa kuchochea uzalishaji

[16/07, 01:38] Salum ZNZ: [16/07, 08:14] +255 623 684 645: Nimeambiwa ukitaka kutoa una kwenda kwa Wakala na kumwambia atumiwe na Wakala mwenzake kama Float Yaani Unampa wakala Million yako na nduguyo anaisubiri kwa wakala mwingine ukimpa wakala Hata 5000 × 2 ni elfu 10 cash siyo mbaya Unaokoa 21,800.

Tupo Maabara bado wabongo wanatafuta Mbinu ya kukabiliana na Changamoto hii[emoji16] Wabongo sio wachoyo wa mbinu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mbinu nyingine ni bora tuwape mawakala watumiane wao kwa wao.Unampooza tu wakala
 
Mkuu hata bank zimeongezwa hujaona kumbe dawa tudai katiba mpya tu hamna namna nyingine hapa
 
Kama ni mfanyabiashara wateja zako wote wa mikoani wape account # hela zipite humo (mimi toka jana hata 50,000/= mawakala wa NMB wametapakaa kila mahali nimewaambia wateja waweke pesa humo nitazitoa kwa wakati wangu la kama mtu anaona hawezi nimetengeneza kiji-chart kinachoonyesha bei mpya za kutoa pesa namtumia picha kisha yeye aangalie kiasi anachotuma kama ataweza atume na ya kutoa hiyo pesa hawezi tuvunje biashara)

Kama biashara yako inakulazimu kununua mzigo wa mteja nje ya kitengo chako jenga utaratibu kila wiki kwenda kukaa foleni utoe kama 3mill kwenye teller ikae tu karibu ili hela ya mteja ikishaingia kwenye acc unanunua mzigo unatuma,waajiriwa yale mambo ya kuhamisha hela kutoka bank then ukatoe kwa wakala kwa sababu ATM machine za bank yako ziko mbali sasa achana nayo tembea na ATM card yako ukitaka kwenda kutoa pesa piga kabisa hesabu zako pesa unayoenda kutoa iwe na ziada ya siku nne mbele kimatumizi.

Kuishi Africa hasa hizi nchi zinazoongozwa na vyama kama ccm inakutaka utumie akili sana,ni vile sisi yanatufika leo kuna wenzetu haya wameshayazoea wanaishi nayo.picha chini ni muamala alifanya mteja wangu jana yupo Ilula aliniwekea hela kwenye acc nikaenda kuitoa ATM cost yake haikuzidi Tsh 4,180/= wakati tozo za mchemba zikinitaka niitoe kwa Tsh 15,200/=
 
Ahahshaaa...!! Na wao wamepiga hesabu kwenye hiyo miamala isiyokwepeka...
 
WABONGO HUWAWEZI sikia hii.

Niko pande za west lake reginal huku. Sasa kale kamanzi langu ka jiji la mawe kakaomba tafu.

Nikikumbuka matozo na nini na hela inayotakkiwa ni 140k basi nikashuka tu kwa wakala. Maana hela zote juzi nilizitoa ili nione mayaga. Nilipofika kwa wakala akaniuliza
Wakala: unayemtumia anaitoa sasahivi kwa matumizi

Mimi: ndiyo

Yeye: basi nataka ukwepe tozo.

Mimi : sawa.
Tukamwambia yule manzi aende moja kwa moja kwa wakala kisha ampe simu tuongee nae. Manzi kafanya hivyo. Wakala wa huku kwangu akamwambia wakala wa kule kuwa ampe manzi tsh 147000 yeye amhamishie frot ya 148500 hivyo wakala wa kule atabakiwa na tsh1500 kama faida. Hapo wanatumia simu zetu kuongea.

Haya wakala kashika simu kahamisha frot kwa wakala wa manzi

Wakala wa manzi kamhesabia manzi kulingana na maongezi kisha mimi namtoa wakala hiyo 150k hivyo nae kabakiwa na buku jero. Sasa nimeona huu mfumo mdo mwepesi kuliko kutuma kwenye mabasi.

NDUGU ZANGU TUTUMIE HUU MFUMO. WAKALA AKIMHAMISHIA WAKALA MWENZAKE HAKKUNA KUKATWA
 
wao haziwahusu wanashinda kwenye mashangingi yao
 
Watapiga marufuku maana hawachelewi hawa wajinga
 
Sasa mnamlalamikia nani?? wapinzani walituchelewesha sana.

Maendeleo hayana vyama😅😅
 
Kwenye ATM sasa kutakuwa na foleni. Kamakutoa 400,000 CRDB kwa njia ya ATM nakatwa 1,000. Kwanini nihangaike na simu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…