[16/07, 01:38] Salum ZNZ:Hili jambo limetufika wote na linatuathiri sote hawa watu wamedhamiria kutufanya tuzidi kuwa masikini huku wao wakineema.Dunia nzima Hakuna tozo kama hizi,tupeana maujuzi zaidi jinsi ya kukwepa dhuluma hizi tutumie nini sasa kufikisha pesa tutumie uber, bodaboda, parcel,mtu,konda, haingilii akili tozo za ajabu kabisa hizi,hata Magufuli asingezikubali achilia madhaifu yake zenye lengo la kuwafanya watz wazidi kuwa masikini,hali inajulikana kuna matumizi mabaya Sana ya Kodi pasipo tija kwa mlipa kodi.
Hawa watu waliokosa ubunifu awaelewi kwamba tozo hizi zinakwenda kuuwa ajira na uchumi wa wengi.Mtza anakamuliwa haswaa tozo za simu bei juu,mafuta bei juu,mbolea bei juu yaani wamelenga mle mle panapogusa maisha ya hali ya chini Ili kuwadidimiza.
Hakuna taifa linaloweza endelea kwa kuongeza tozo bali kwa kuchochea uzalishaji Ili export ikue.
Tumetoka kuisoma namba leo tunazikwa kabisa hawana huruma kabisa hawa.
[16/07, 08:14] +255 623 684 645: Nimeambiwa ukitaka kutoa una kwenda kwa Wakala na kumwambia atumiwe na Wakala mwenzake kama Float Yaani Unampa wakala Million yako na nduguyo anaisubiri kwa wakala mwingine ukimpa wakala Hata 5000 × 2 ni elfu 10 cash siyo mbaya Unaokoa 21,800.
Tupo Maabara bado wabongo wanatafuta Mbinu ya kukabiliana na Changamoto hii[emoji16] Wabongo sio wachoyo wa mbinu [emoji23][emoji23][emoji23]