Hakuna tajiri aliyefanikiwa bila madhabahu

Hakuna tajiri aliyefanikiwa bila madhabahu

Madam hayo madhabahu siyajui, zaidi ya hustling, juhudi na connection ya watu sahihi.

hata hiyo bahati ni preparation inayo kutana na opportunity.
Sisemi kwa maneno, maisha yangu ni reference tosha.
Mimi Leo nipo upande wangu wa madhabahu tu nyie nipingeni
 
Back
Top Bottom