Hakuna tena Demokrasia Tanzania

kurlzawa

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2018
Posts
16,694
Reaction score
20,658
Wakuu habari za leo

Najua nyie ni wazima lengo la kuandika huu uzi hapa napenda tu kuwakumbusha kuwa Tanzania haina democrasia kabisa.

Sababu hatufuati pillars of Democracy mfano FREE MASS MEDIA hii kitu ilishakufa 5 years ago tusishangae Lisu kwenda kusemea kenya huku akipata Nafasi ya kuongea TCRA watafanya mpango sauti yake isisikike inakuwa kama tunaangalia Pornograph.

Cha pili ways of improving democracy in any country ni by increasing role of opposition parties kwetu hapa ukiwa mpinzani unaonekana kama jambazi au mhalifu kabisa ata ukipigwa na risasi serikali haikuhangaikii kabisa vyama vya siasa vimeminywa sana CCM tu inatamba hadi wasanii wote wako CCM.

VIJANA MNAOSHABIKIA CCM NA KUMCHEKA LISU KISA KAWA KILEMA NAWAKUMBUSHA HAUJAFA HAUJAUMBIKA HAWA WALIOMPIGA LISASI NAWAKUMBUSHA HAUJAFA HAUJAUMBIKA.
 
Vyombo vya habari vinafikiria kwa tumbo siku hizi
 
Hata sisi hatuna uhuru kiasi hicho, tuvumiliane tu.

Magufuli ananyoosha nchi
 
Sasa Ulitaka Warushe sauti gani yahuyo Msaliti na Mropokaji!
Mtu Kila kukicha nikuiombea nchi mabaya
Hiyo Demokrasia peleka ufipani hatuihitaji
 
"Hujafa hujaumbika" imetumika sipo kabisa. Na haifanani na hoja yako.
 
Tangu tuwe na uhuru Tanzania Hatujawahi kuwa na mgombea Uraisi wa ajabu kama huyo bwana

Mtu ambaye hajui aongee nini na wapi na Kwa Wakati gani?

Hiyo ni wakupingwa na kila mtu mwenye akiri timamu
 
Tangu tuwe na uhuru Tanzania Hatujawahi kuwa na mgombea Uraisi wa ajabu kama huyo bwana

Mtu ambaye hajui aongee nini na wapi na Kwa Wakati gani?

Hiyo ni wakupingwa na kila mtu mwenye akiri timamu
Wenye akili timamu watamsikiliza na kumkubali katika hoja zake nyingi. Ila wenye akiri badala ya akili, watampinga kwa kila kitu.

Kwa nini watu wengi wanaomsema vibaya Tundu Lisu, kwa kuangalia maandiko yao, ni watu wenye upeo au uelewa mdogo wa vitu hata vile vya kawaida kabisa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu zangu hiyo ndio gharama ya udikteta, haya mambo tulikuwa tunayasikia nch jirani tu miaka ya nyuma sasa yamehamia kwetu. Magu amefupisha maisha ya ccm, sasa watu wanaanza kumjua vizuri na tayari alishatupa karata zake zote iliyobaki ni kuendeleza ubabe ili angalau aweze kubaki tena kwa miaka mingine mitano, lakini mimi nafikiri imetosha sana, sasa basi!
 
Kwa nini pia wengi wanaomuunga mkono huyu mgombea wa ajabu, wengi wao ni wale walioenguliwa serikalini Kwa vyeti bandia?

Waliokuwa wakifanyia watu operations za kichwa badala ya mguu?? Kwa nini?
 
Kwa nini pia wengi wanaomuunga mkono huyu mgombea wa ajabu, wengi wao ni wale walioenguliwa serikalini Kwa vyeti bandia?

Waliokuwa wakifanyia watu operations za kichwa badala ya mguu?? Kwa nini?
Dogo tunaomkubali Lisu tupo matycoon ambao tunakula mema ya nchi, hatumkubali huyo mshamba wenu amenajinisi state house for 5 years, Sasa Basi akalime tu.
 
Lisu anaungwa mkono na kusikilizwa na wapumbavu wenzie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…