Hakuna tena Demokrasia Tanzania

Tangu tuwe na uhuru Tanzania Hatujawahi kuwa na mgombea Uraisi wa ajabu kama huyo bwana

Mtu ambaye hajui aongee nini na wapi na Kwa Wakati gani?

Hiyo ni wakupingwa na kila mtu mwenye akiri timamu
Sichunguze uenda wewe ndo wa ajabu naa ulipaswa küanza tiba
 
Lisu anaungwa mkono na kusikilizwa na wapumbavu wenzie
Baada ya kumaliza hizo ngonjera za siku nyingi, usisahau kuimba mapambio na kumwabudu yesu wa burigi ili upate uteuzi wa mwishomwisho.
 
Kwa nini pia wengi wanaomuunga mkono huyu mgombea wa ajabu, wengi wao ni wale walioenguliwa serikalini Kwa vyeti bandia?

Waliokuwa wakifanyia watu operations za kichwa badala ya mguu?? Kwa nini?
Tuambie wewe kwa nini? Ebu wataje maana unawajua
 
Wa
Wapi kuna demokrasia?
 
Kama ulisoma vizuri civis , GS, na DS huwezi kuongea huo ujinga demokrasia sio uadui
huyo ni punguani na zezeta, kama Tundu vitu anavyoongea ni kinyume na sheria za nchi kwanini wasimshitaki, kuliko kufanya huo uhuni wanaofanya
 
Sasa Ulitaka Warushe sauti gani yahuyo Msaliti na Mropokaji!
Mtu Kila kukicha nikuiombea nchi mabaya
Hiyo Demokrasia peleka ufipani hatuihitaji
Sasa kama ni msaliti, si muwaachie wananchi ndiyo waamue?

Mna sababu gani hadi kuogopa sauti yake isisikike kwa wasikilizaji?

Kuna msemo wa wahenga usemao kizuri chajiuza na kibaya chajitembeza.........

Hivi kinachofanywa na chombo cha habari cha Umma cha TBC, huko si ndiyo kujitembeza?
 
Mleta maada, aliyekwambia ni lazima kila nchi iwe na hiyo demokrasia ni nani? Kila jamii yapaswa kuishi vile inavyotaka yenyewe. Na hata pale inapoamua kuwa na demokrasia sharti jamii yenyewe ndiyo iamue aina ya demokrasia inayotaka. Kuna kiwango cha demokrasia nchi yoyote ile ikifikia kunakuwa hapana watu wala utu tena. Linakuwa taifa la wendawazimu.

Ukitaka kunielewa tembelea ukurasa wa twitter wa Trump halafu pitia mijadala ya wamarekani. Tazama mitazamo yao, lugha wanazotumia, kiwango cha heshima/staha, na kisha jiulize ikiwa ni watu au wendawazimu wanajadiliana.

Kwa kifupi demokrasia iliyokubuhu au ulibelali ni kitu cha mwisho nchi yetu itaamua kufanya. Ni afadhali kuwa na viashiria vyote vya maendeleo (demokrasia ni kiashiria kimoja tu cha maendeleo: tena kwa mujibu wa ubepari) isipokuwa hiyo demokrasia kuliko kuwa na demokrasia na kisha kuishi kitaahira kama nchi moja hivi tunayopakana nayo.
 
Nadhani umejichanganya unachotaka wewe na wajasiriasiasa wa Tanzania ni Domo krasia sio demokrasia
 
VP bashite Naye anamuunga mkono?
Kwa nini pia wengi wanaomuunga mkono huyu mgombea wa ajabu, wengi wao ni wale walioenguliwa serikalini Kwa vyeti bandia?

Waliokuwa wakifanyia watu operations za kichwa badala ya mguu?? Kwa nini?
 
Mkuu Malipo ni hapa hapa Duniani kuwa Waziri Selina Kombani mwaka 2015 alisema Ikulu haipo kupokea Wagonjwa akimlenga Mzee Lowassa,Yaliyo mpata Mungu anajua Yuko Kaburini
 
Tundu Lisu aeleze hoja tu sasa habari yake itarushwa vipi kama imejaa matusi wakati vyombo vya habari vinatakiwa kulinda maadili ya nchi akianza kuongea hoja atasikilizwa na kila mpenda amani lkn kwa fujo zake hayupo wa kumsikiliza
 
Hatumcheki Lissu kwa sababu amekuwa kilema, sisi ni binadamu tunajali mtu akipatwa na matatizo. Kupatwa kwake matatizo isilazimishe tumuonee huruma na kumpa Urais..haipo hivyo.
Anyways..time will tell. Akishinda kila la kheri kwake, ingawa haitakuwa rahisi.
 
Mkuu kabla ujaongea fanya utafiti na sio kuwaamini sana chadema. Tanzania demokrasia ipo kama ingekua hakuna usingeweza kutoa maoni yako hapa wala usingeweza kufanya shuguli zako popote mradi usivunje sharia.

Kuhusu vyombo vya habari lilishatolewa ufafanuzi kwamba chadema wenyewe ndio wenye tatizo hawaviamini vyombo vya habari.

Sasa kama unaichukia TBC na huishirikishi kwenye shugulizako itakusaidiaje? Tuache siasa za kuona kiĺa kitu mnaonewa wakati tatizo ni ĺenu wenyewe.
 
Upinzani mnalia lia tu,hakuna vyombo rasmi vya habari mali ya upinzani mnalalamika tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…