NetMaster
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 1,454
- 4,925
Achana na kina usman, mac gregor au kina Israel adesanya alietembezewa kichapo na Alex kwa mara ya tatu mfululizo.
Hili jamaa la kuitwa Jon Jones ni habari nyingine kabisa, kapoteza pambano moja tu ambalo alimtembezea sana kipigo mpinzani na kumpiga kipepsi side cut cha pua ndio akawa disqualified huku mpinzani wake akiwa hoi bin taaban.