Nawakubali wapiganaji watatu Kamaru Usman, Israel Adesanya (style bender) na Francis Ngannou..Hao jamaa ni watata sana ila nilipoona Usman na Adesanya wamepigwa nikakubali huu mchezo hauna mwenyewe.. Nasubiri kuona Francis Ngannou (mzee wa KO) akipigwa na sijui atapigwa na nani.