Hakuna text mwanaume anaituma kwa uchungu kama "KWA HIYO HUJI"?

Hakuna text mwanaume anaituma kwa uchungu kama "KWA HIYO HUJI"?

Hahahah! hao wanaotumaga txt za hivyo wanakua bado ni wavurana hawajajua vzr kumkamata kuku..
 
MWANUME WA UKWEEE? unamuuliza huji kwani ulimwacha wapi?
 
Kuna mtu atakuja kusema.
Sasa ulishawahi kuona wapi first eleven inakosa super sub
My comment reserved
 
Back
Top Bottom