Mimi kwa elimu yangu ndogo ya biashara.
Mo wakati anaichukua Simba haikua na thamani hiyo so aliweka 20B kipindi hiko simba ilikua kubwa jina ila haikua na mafanikio makubwa au mafanikio yake yalikua ni historia timu ilikua na hali mbaya.
So akabadili muundo wa timu na kuweka pesa kununua wachezaji wazuri na kuifamya timu kua tishio ikiwemo kufika robo mara 2 na kuzifunga timu kubwa Al ahly na wengine ikawa timu tishio hapo sasa..ni sawa na kununua nyumba kuukuu ukaipiga rangi na kuifanyika ukarabati basi huwezi ukaja kuuza kwa bei ile ile uliyonunulia basi ndo sawa na mkataba..
Simba aliyoichukua Mo kwa 20B japo inaonekana ndogo huwezi kuifananisha na Simba ya sasa.
NB: Nimetolea mfano ila sina hakika na hizo 20B