demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,292
- 15,250
Ilikuwa ni lazima isubiriwe ya Mabingwa watetezi wataje yao ili walete formula yao.
Nani hakuona hili?
Cha ajabu imekuja formula ambayo haijawahi tokea duniani kote.
Yaani sponsorship deal izidi kiasi cha thamani za hisa zilizoo wekwa klabuni?
Niacheni kidogo ndugu zangu. Kama ni mchanga basi ni ule wa saa 9 tena wa kando ya bahari. Thamani halisi haionekani kwa mbwbwe za mbele ya kamera, bali kile kinachoakisiwa.
Mficha Maradhi, kifo humuumbua
Note: "Huu uzi hauna uhusiano na Mamipira."
Picha hazina uhusiano kabisa na mada hapo juu.