Hakuna timu Duniani ambapo mdhamini kaweka pesa nyingi kushinda mwekezaji

apo umenena aiwezekani kanjibai aweke b20 kwa muda usio julilikana alafu kwenye jez yetu amejaza makolokolo kibao alafu anahisa49 wakat huohuo m-bet katangazo kamoja makolo tumekula b26 bila kumiliki hisi
HUYU KANJIBAY NI TAPELI
 
Ujinga ni yanga kujiona ni club kubwa na yenye thamani kushinda simba

Simba kachukua league misimu minne mfululizo

Simba kacheza caf champion league Mara nyingi kuliko yanga na haaanzii chekechea

Simba imeizidi yanga wafuasi mara mbili kwenye social network,

Sasa ku sign deal hilo pia mshaanza nongwa yote hayo kwasababu tarimba anawabeba na sportpesa ila

Manara na Lucy Aymel hawakukosea kusema vile yaaani yanga inajiona team kubwa kushinda simba kwa lipi wakati boss wenu anaitaka simba kama leo awekeze ila haiwezekani.
 
Mimi kwa elimu yangu ndogo ya biashara.

Mo wakati anaichukua Simba haikua na thamani hiyo so aliweka 20B kipindi hiko simba ilikua kubwa jina ila haikua na mafanikio makubwa au mafanikio yake...
Mo alikuja na Hundi mwaka 2021 mkuu na sio mwaka 2017. Sasa jiulize kwanini mwaka jana na sio 2017??
 
Ilikuwa ni lazima isubiriwe ya Mabingwa watetezi wataje yao ili walete formula yao.

Nani hakuona hili...
Ebu wacha uvivu thamani ya manchester utd yote pesa aliotoa Glazzer ni £800million kwa hisa zote 100%, ila mkataba wake na adidas wa miaka 10 ni £750million, sasa ajabu ipo wapi kwa MO aliepewa 49% kwa 20B huku mkataba wa M bet ukiwa 26.1B kwa miaka 5? acha uvivu haya mambo ya kawaida sana
 
Simba watakwenda USA pre season 2022 kiko wapi ?Mo na genge lake ujanja ujanja tu.
 
Samahani kidogo mkuu hiyo ndio hii au...??
 
Simba watakwenda USA pre season 2022 kiko wapi ?Mo na genge lake ujanja ujanja tu.
Yanga kwenda Uturuki, na kuishia Mikwambe kibonde maji, vipi huoni hilo??
GSM na kikundi chake ni matapeli, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Byuti byuti.
 
Mkataba amesaini Simba, anayelia wa yanga maajabu haya! Hata kama ni uongo, wewe umepungukiwa na nini?! Si uwaache tu na mambo yao! Au kwavile wenye akili ni Kikwete na Manara pekee?!
Ni kama tu Yanga ilipotoa jezi zake za msimu huu hapa juzi kati! Walio zilalamikia kuwa hazifai! Sijui zina misikiti! ni mashabiki wa simba.

Ikumbukwe pia baadhi ya mashabiki wa Yanga na sisi tuliwashangaa kama na wewe unavyo shangaa muda huu.

Na bado mkitoa na jezi zenu za msimu huu, mjiandae kupondwa tena iwapo zitakiwa na mapungufu. Maana hakuna namna nyingine sasa. Ila mimi nawapongeza kwa huo mkataba wenu mnono na Mbet, iwapo kama hauna ujanja ujanja nyuma ya pazia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…