Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi bado nashangaa hii hundi sijui bank gani itaipokeaEti Duniani hakuna ...
Sasa umeambiwa Simba Iko mbinguni?
Halafu wewe utopolo unaumia nini sasa
Ukitaka kuwashika akili makolo waambie umeingia mkataba wa 20blWatani zangu waongo waongo.
Wanapenda kuongeza masifuri tu.[emoji23][emoji23]View attachment 2311410
Mo alikuja na Hundi mwaka 2021 mkuu na sio mwaka 2017. Sasa jiulize kwanini mwaka jana na sio 2017??Mimi kwa elimu yangu ndogo ya biashara.
Mo wakati anaichukua Simba haikua na thamani hiyo so aliweka 20B kipindi hiko simba ilikua kubwa jina ila haikua na mafanikio makubwa au mafanikio yake...
Huo mwiko huko nyuma mnaufurahia nini?DAIMA MBELE, NYUMA MWIKO
GUVU MOYA
Mmeambiwa post haihusiani na footballKwahyo Simba tumeingia kwenye vitabu vya rekodi vya Guinness...kwa kuvunja rekodi
Ebu wacha uvivu thamani ya manchester utd yote pesa aliotoa Glazzer ni £800million kwa hisa zote 100%, ila mkataba wake na adidas wa miaka 10 ni £750million, sasa ajabu ipo wapi kwa MO aliepewa 49% kwa 20B huku mkataba wa M bet ukiwa 26.1B kwa miaka 5? acha uvivu haya mambo ya kawaida sanaIlikuwa ni lazima isubiriwe ya Mabingwa watetezi wataje yao ili walete formula yao.
Nani hakuona hili...
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Mimi bado nashangaa hii hundi sijui bank gani itaipokeaView attachment 2311540
umeonaeee bora waliokaa kigamboniSimba watakwenda USA pre season 2022 kiko wapi ?Mo na genge lake ujanja ujanja tu.
ulishawahi kuona wapi kuongeza mkataba ni kwenye jezi,wajinga nyie tuonyesheni mkataba aliosainiMimi bado nashangaa hii hundi sijui bank gani itaipokeaView attachment 2311540
Samahani kidogo mkuu hiyo ndio hii au...??Ebu wacha uvivu thamani ya manchester utd yote kwasasa ni £800million kwa hisa zote 100%, ila mkataba wake na adidas wa miaka 10 ni £750million, sasa ajabu ipo wapi kwa MO aliepewa 49% kwa 20B huku mkataba wa M bet ukiwa 26.1B kwa miaka 5? acha uvivu haya mambo ya kawaida sana
Yanga kwenda Uturuki, na kuishia Mikwambe kibonde maji, vipi huoni hilo??Simba watakwenda USA pre season 2022 kiko wapi ?Mo na genge lake ujanja ujanja tu.
Ni kama tu Yanga ilipotoa jezi zake za msimu huu hapa juzi kati! Walio zilalamikia kuwa hazifai! Sijui zina misikiti! ni mashabiki wa simba.Mkataba amesaini Simba, anayelia wa yanga maajabu haya! Hata kama ni uongo, wewe umepungukiwa na nini?! Si uwaache tu na mambo yao! Au kwavile wenye akili ni Kikwete na Manara pekee?!
Kila nikiona comment yako nakumbuka ulivyotudanganya afya ya JPM kipindi kile.Simba watakwenda USA pre season 2022 kiko wapi ?Mo na genge lake ujanja ujanja tu.