comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
Yanga ni timu kubwa dunianiIle damu iliopo ardhini bado inalia mpaka itendewe haki ndio mambo yatatulia.
Na mwakani mwendo ndio huuhuu
👽 AZAM OUT
👽SIMBA OUT
👽YANGA (CCM DEPARTMENT OF SPORTS) OUT
Tanzania sio dunianYanga ni timu kubwa duniani
Ishinde au ishindwe yote sawa.
Tanzania ni zaidi ya dunianiTanzania sio dunian
Sawa mbogambogaTanzania ni zaidi ya duniani
Nipo hapa, HAKUNAYoung Africa anaongoza 3 bila, mtoa mada sijui utaludi kwenye uzi huu
Imepita??.Endapo itakuwa kinyume na usemavyo usituache wenyewe kwenye huu uzi Mkuu.
HahahahaEndapo itakuwa kinyume na usemavyo usituache wenyewe kwenye huu uzi Mkuu.
Endapo itakuwa kinyume na usemavyo usituache wenyewe kwenye huu uzi Mkuu.
HahahaWas*eng nyie mmekimbia uzi?
Sitarudi tenaYoung Africa anaongoza 3 bila, mtoa mada sijui utaludi kwenye uzi huu
Wote viande tuccm b imetoka
Mashujaa wa mo29 wamefurahi