Hakuna Timu ya Kijinga kama Barca

Hakuna Timu ya Kijinga kama Barca

Golden legs jana mipira ilikua inamteleleza
 
NAMSALIMIA TU ANDUNJE MWENZENU "BLACKPANTHER" MAANA ANA MAHABA SANA KWA MESSI KULIKO HATA MUNGU NA WAZAZI WAKE[emoji113][emoji87]
 
Yani ile come back ya PSG nilidhani walibebwa ilaa kilichotokea leoo Nimeamini Barcelona ni timu ya Ovyooo sanaaa na Messi is Over rated...!! Yani Serious UEFA huwa mnatolewa kiboyaa sanaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hongera Liverpool
Barcelona wamekuwa wepesi tu kupinduliwa meza. As Roma msimu uliopita wamefanya hivyo kwa kuwachabanga magoli 3 na jana Liverpool wamepindua meza kwa kuwapa kipigo cha kutosha. Kuna shida ya kimbinu kwa kocha
 
Yule kocha wa barcelona hajitambui na hana mbinu zozote muda wote kaweka mikono mfukoni, mjinga kabisa

Kwa mtu anayekumbuka come back ya as roma, lile goli mapema la liverpool ilitakiwa ajitafakar, aangalie namna ya kutulia kimchezo
Sasa mpaka gori la pili jamaa hajitambui tu, hajui kama yanatokea ya roma

Mpaka goli la tatu, kocha haongei hata kidogo, kawaacha wachezaji wafanye wanayoyajua

Huyo kocha ni kiazi sijawahi ona, afukuzwe tu
 
Ni mpuuzi sana.. Kwa timu kubwa kama barca kufanyiwa Come back ya Goli nne ni matusiii
 
Laana ya kupindua matokeo dhidi ya PSG kwa magoli 5-0 ya mbeleko hadi Kocha aliadhibiwa ndiyo yanayoitafuna Barcelona[emoji23]
 
Back
Top Bottom