kilama
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 2,745
- 1,989
HahahahahaYoung , makosa ya degea, na ujinga wa rashford, rashford,martial na lukaku.
Inshort sisi tuliwazidi barca ubovu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahahahaYoung , makosa ya degea, na ujinga wa rashford, rashford,martial na lukaku.
Inshort sisi tuliwazidi barca ubovu.
Uko sahihi! Mpira hauchezwi mdomoniMpira uwanjani, mtaani kelele tu.
Hata mm najiuliza tulikosea wapi, yule fabinho anatembeza kiatu mpk raha pale kati man u tulikua tunataka tulingane nao,United sijui tulitolewaje na pimbi hawa
Kichapo kimekuvuruga hadi unashindwa kuandika hahaaa...hii ndiyo dunia...[emoji847][emoji1787]Golden legs jana mipira ilikua inamteleleza
Mkuu mimi ni miongoni mwa Barcelona haters pamoja na yule pimbi waoKichapo kimekuvuruga hadi unashindwa kuandika hahaaa...hii ndiyo dunia...[emoji847][emoji1787]
Mkuu mimi ni miongoni mwa Barcelona haters pamoja na yule pimbi wao
Barcelona wamekuwa wepesi tu kupinduliwa meza. As Roma msimu uliopita wamefanya hivyo kwa kuwachabanga magoli 3 na jana Liverpool wamepindua meza kwa kuwapa kipigo cha kutosha. Kuna shida ya kimbinu kwa kochaYani ile come back ya PSG nilidhani walibebwa ilaa kilichotokea leoo Nimeamini Barcelona ni timu ya Ovyooo sanaaa na Messi is Over rated...!! Yani Serious UEFA huwa mnatolewa kiboyaa sanaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hongera Liverpool
Yule kocha wa barcelona hajitambui na hana mbinu zozote muda wote kaweka mikono mfukoni, mjinga kabisaBarcelona wamekuwa wepesi tu kupinduliwa meza. As Roma msimu uliopita wamefanya hivyo kwa kuwachabanga magoli 3 na jana Liverpool wamepindua meza kwa kuwapa kipigo cha kutosha. Kuna shida ya kimbinu kwa kocha
Ni mpuuzi sana.. Kwa timu kubwa kama barca kufanyiwa Come back ya Goli nne ni matusiiiYule kocha wa barcelona hajitambui na hana mbinu zozote muda wote kaweka mikono mfukoni, mjinga kabisa
Kwa mtu anayekumbuka come back ya as roma, lile goli mapema la liverpool ilitakiwa ajitafakar, aangalie namna ya kutulia kimchezo
Sasa mpaka gori la pili jamaa hajitambui tu, hajui kama yanatokea ya roma
Mpaka goli la tatu, kocha haongei hata kidogo, kawaacha wachezaji wafanye wanayoyajua
Huyo kocha ni kiazi sijawahi ona, afukuzwe tu
Who is better this seoson? MESSI OR VAD DIJK?Still mess bado ana qualify kwa balon for,I'm Liverpool fan but mess is mile away kumzidi salah- had I hapo barca ilipofika ni sababu ya messi
Taratibu Mzee Baba, usisababishe Watu kujinyonga bure kwa kuwakumbushia machungu ya 4-0...[emoji1787][emoji1787]Ni mpuuzi sana.. Kwa timu kubwa kama barca kufanyiwa Come back ya Goli nne ni matusiii