Hakuna tofauti kati ya biashara na ajira

Madini
 
Hakika
 
Unaongelea ulimwengu wa kufikirika mkuu. Ni wachache mno wenye kuwa na kitu tofauti hasa katika dunia hii ya sasa ambapo kuna ushindani wa kutisha. Ukiajiriwa ujue uko chini ya sheria na kanuni bila kujali wewe ni nani.

Huwezi kupanga terms zako kwenye ajira unless wewe ni mtaalam unayelipwa kutokana na mkataba wa muda mfupi kutekeleza jambo fulani, lakini kwa ajira za kudumu, ukweli ni tofauti mno. Ukweli ndio huo.
 
Hongera sana mkuu
 
Umeongea pumba tu mnajitetea mlioajiriwa lakn ukwel mnaujua
 
Duh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu umetiririka mpaka nimebid nianze kusoma tena upya hongera sana
 
Ni kweli asee
 
[emoji106]
 
Amen.

#YNWA
 
ajira na kijiajir na vWili ajira ni kama pesa 10000 we yakoni100
 
Unajua hapa mjini ukilipwa 1.5M wewe mtaani unaonekana mfanyakazi wa maana,unakuta vizuri,watoto utasimesha private hizi za kawaida kiufupi heshima mtaani unapata.

Kwa mwaka una 19.5M hapo ni kama huna mkopo wowote .

Lakini kwenye biashara unaweza ukapata tender moja ya 50m ukaifanya kwa 15m faida 35m yaani tenda moja unapata mshahara wa miaka 2 ya mtu
 
nyinyi wafanya kazi mnachotuzidi sisi wajasiliamali ni madeni tu.
 
Umepigilia nyundo .....mleta Uzi akarudie homework
 
Hahahaaa!!kakimbia uzi wake.



Tunachokijua:
 
Wafanyakazi....hivi na Gavana/ mkurugenzi wa bandari/kamishna wa TRA,,,nao ni wafanyakazi
 
Wafanyakazi....hivi na Gavana/ mkurugenzi wa bandari/kamishna wa TRA,,,nao ni wafanyakazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…