Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaishi ulimwengu upi wewe? Zaidi ya 95% ya wagombea wote wa upinzani walienguliwa kabla ya kura. Sasa anayeogopa kushindwa katika sanduku la kura ni mwengua au mwenguliwaji?Wapinzani walinusa dalili za kushindwa
Wakaamua kijiondoa kukwepa aibu
Hivi kwa uchapakazi wa Magufuli kuna mtu ana muda wa kusikiliza Wapinzani?
Nchi hii ina watu tofauti sana, yaani kuna watu wanaona anachapa kazi, wapo wanaoona hamna kitu ni mbwembwe tu. HIVI UKIFANYA KITU KIZURI WANANCHI HAWAONI HADI UTUMIE MUDA MWINGI ,VYOMBO VYA HABARI KARIBU VYOTE KUTANGAZA ULIYOFANYA AU UNAYOFANYA, NA WATEULE WAKO KARIBU WOTE KILA SIKU NI KUKUSIFIA KWENYE VYOMBO VYA HABARI. Kana kwamba unayofanya wananchi hawayaoni?. Kumbuka ukiona Baba anapenda kuwakumbusha watoto wake mara kwa mara kuwa 'MIMI NI BABA YENU' Ujue hatimizi majukumu yake kama baba ndo maana anatumia nguvu kubwa kuwaaminisha watoto kuwa yeye ndio baba yao . Mwenye macho haambiwi ona. Chapa kazi baba, turudishie bunge letu live. Hii live ya kwako ya kila siku inatuchosha, badilisha CD.Wapinzani walinusa dalili za kushindwa
Wakaamua kijiondoa kukwepa aibu
Hivi kwa uchapakazi wa Magufuli kuna mtu ana muda wa kusikiliza Wapinzani?
Zitto kususia uchaguzi ni sawa na uhaini, unastahili kunyongwa.
Wapinzani walinusa dalili za kushindwa
Wakaamua kijiondoa kukwepa aibu
Hivi kwa uchapakazi wa Magufuli kuna mtu ana muda wa kusikiliza Wapinzani?
Ila Zitto sijui mlikubali vipi uchaguzi usimamiwe na waziri na nyie mtegemee kutendewa haki...MSIMAMO WA ACT-WAZALENDO;
“HAKUNA TUME HURU, HAKUNA UCHAGUZI UTAKAOKUBALIKA NCHINI” WAZIRI SELEMANI JAFO AWAJIBIKE KWA KUHARIBU UCHAGUZI.
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Imetolewa leo Tarehe 11/11/2019
1. Mchakato wote wa Uchaguzi uanze upya: Lazima yote yaliyofanyika chini ya utaratibu wa sasa yafutwe, uchaguzi uahirishwe na mchakato wa uchaguzi uanze upya.
2. Wasimamizi wa Uchaguzi wote walioharibu mchakato wa uchaguzi huu wawajibishwe ili kukomesha tabia hii inayoharisha amani ya nchi.
3. Zitungwe Kanuni Mpya za Uchaguzi kwa maridhiano na makubaliano na Wadau wote hususani vyama vya siasa.
4. Iundwe Kamati Huru ya kusimamia Uchaguzi: Lazima maamuzi katika hatua zote za Uchaguzi yawe ya maridhiano na makubaliano ya vyama sio TAMISEMI, ambao hawana uhuru, uwazi na wala uwezo wa kutenda haki.
5. Waziri Selemani Jafo aitishe kikao cha pamoja cha vyama vyote vya siasa ili kukubaliana juu ya namna ya kusonga mbele Kwa utekelezaji wa mapendekezo yetu hayo. Kinyume na hivyo sisi ACT Wazalendo hatutashiriki Uchaguzi huu wa Tarehe 24 Novemba, 2019.
6. Kutokana na O-TAMISEMI kuwa Wizara iliyopo chini ya OFISI YA RAIS, tunamtaka Rais Magufuli afikirie upya kuiondoa ofisi hii Ikulu na kuirejesha kwa Waziri Mkuu kama ilivyokuwa awali ili ‘TAASISI YA URAIS IEPUKANE NA KASHFA ZA UHARIBIFU WA DEMOKRASIA NCHINI’
7. Tunatoa wito kwa Vyama vyote vya Siasa kutokubali hadaa ya Waziri Jafo na kutumia nafasi hii kuwa pamoja kudai Tume Huru ya Uchaguzi ili Uchaguzi wa mwaka 2020 usiwe na dosari tulizoshuhudia sasa. Bila Tume Huru ya Uchaguzi pasiwe na Uchaguzi wowote nchini. Viongozi wa Kitaifa wa vyama watoke na tamko la pamoja kutaka TUME HURU YA UCHAGUZI.
HITIMISHO
Ndugu wanahabari, ni wazi mchakato wa uchaguzi huu wa serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji, hauwezi kuendelea kwa haki hasa baada ya wananchi kuonyesha hisia zao za kuichoka CCM katika hatua za awali katika uandikishaji wapiga kura. Serikali ya CCM itaendelea na gilba zake kuhakikisha inapoka demokrasia ili kujihalalishia ushindi kwa kutumia mabavu ya dola na mtandao mpana uliowekwa kwa kazi hiyo. Ndio maana vitisho vya waziri wa Mambo ya Ndani Kangi Lugola na DCI Robert Boaz vinaendelea kila uchao.
Tunaendelea kusisitiza msimamo wetu wa kujitoa kwenye uchaguzi na kuwataka wanachama wetu wote nchi nzima kuendelea kutekeleza agizo la Chama la kuandika barua za kujitoa kwenye uchaguzi. Aidha tunatoa wito kwa wanachama wetu kubaini wagombea bandia wa CCM waliopewa fomu kwa kugushi mihuri na barua za utambulisho maeneo kadhaa nchini ili hatua za kisheria ziweze kuchukuliwa dhidi yao.”
….
Joran Bashange
MWENYEKITI WA KAMATI YA KAMPENI NA UCHAGUZI TAIFA.
Wapinzani walinusa dalili za kushindwa
Wakaamua kijiondoa kukwepa aibu
Hivi kwa uchapakazi wa Magufuli kuna mtu ana muda wa kusikiliza Wapinzani?
Na wengine si kwamba walikosea wajazaji, BALI WAPOKEAJI WALIONGEZA HERUFI, NAMBA etc... Kuna wengine walikuwa na kopi za fomu walizojaza, hizo ndo zinawaumbuaFYI
Maeneo mengi sana wagombea kutoka upinzani walikatwa kipuuzi kabisa. Kwa mfano mtu kakosea jina la mtaa (Living stone yeye kaandika Living tone au living stones). Hili jambo mtu angeelekezwa tu na sio kukatwa jumla.
Watendaji wengine walifunga ofisi zao siku karibia tano kuelekea tarehe ya mwisho ya kurudisha form ili kukwepa tu kuchukua form za wapinzani.
Sio kwamba wapinzani wamejitoa bila sababu eti kuogopa aibu. Acha upotoshaji
Usishangae kuambiwa huyo ni baba mzazi wa mtu, sasa vuta picha huyo mtoto atakuwa katika mazingira gani kama baba ni mpuuzi kiasi hiki?Wazazi hakikisheni watoto wanayonya maziwa ya mama ndani ya miezi sita na zaidi ya mwaka..ona sasa hii aina ya udumavu ilipo kwa huyu kiumbe...inasikitisha sana.
This is rubbish. Kama anachapa kazi uharamia huu anaufanya wa nini. Hakuna cha kazi wala nini, he is the most unpopular ruler in the history of this country.Wapinzani walinusa dalili za kushindwa
Wakaamua kijiondoa kukwepa aibu
Hivi kwa uchapakazi wa Magufuli kuna mtu ana muda wa kusikiliza Wapinzani?
Wewe ni mwehu! Kwani huyo Magufuli ndiye anaye gombea uenyekiti wa mtaa wako au kijiji?Wapinzani walinusa dalili za kushindwa
Wakaamua kijiondoa kukwepa aibu
Hivi kwa uchapakazi wa Magufuli kuna mtu ana muda wa kusikiliza Wapinzani?
MSIMAMO WA ACT-WAZALENDO;
“HAKUNA TUME HURU, HAKUNA UCHAGUZI UTAKAOKUBALIKA NCHINI” WAZIRI SELEMANI JAFO AWAJIBIKE KWA KUHARIBU UCHAGUZI.
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Imetolewa leo Tarehe 11/11/2019
1. Mchakato wote wa Uchaguzi uanze upya: Lazima yote yaliyofanyika chini ya utaratibu wa sasa yafutwe, uchaguzi uahirishwe na mchakato wa uchaguzi uanze upya.
2. Wasimamizi wa Uchaguzi wote walioharibu mchakato wa uchaguzi huu wawajibishwe ili kukomesha tabia hii inayoharisha amani ya nchi.
3. Zitungwe Kanuni Mpya za Uchaguzi kwa maridhiano na makubaliano na Wadau wote hususani vyama vya siasa.
4. Iundwe Kamati Huru ya kusimamia Uchaguzi: Lazima maamuzi katika hatua zote za Uchaguzi yawe ya maridhiano na makubaliano ya vyama sio TAMISEMI, ambao hawana uhuru, uwazi na wala uwezo wa kutenda haki.
5. Waziri Selemani Jafo aitishe kikao cha pamoja cha vyama vyote vya siasa ili kukubaliana juu ya namna ya kusonga mbele Kwa utekelezaji wa mapendekezo yetu hayo. Kinyume na hivyo sisi ACT Wazalendo hatutashiriki Uchaguzi huu wa Tarehe 24 Novemba, 2019.
6. Kutokana na O-TAMISEMI kuwa Wizara iliyopo chini ya OFISI YA RAIS, tunamtaka Rais Magufuli afikirie upya kuiondoa ofisi hii Ikulu na kuirejesha kwa Waziri Mkuu kama ilivyokuwa awali ili ‘TAASISI YA URAIS IEPUKANE NA KASHFA ZA UHARIBIFU WA DEMOKRASIA NCHINI’
7. Tunatoa wito kwa Vyama vyote vya Siasa kutokubali hadaa ya Waziri Jafo na kutumia nafasi hii kuwa pamoja kudai Tume Huru ya Uchaguzi ili Uchaguzi wa mwaka 2020 usiwe na dosari tulizoshuhudia sasa. Bila Tume Huru ya Uchaguzi pasiwe na Uchaguzi wowote nchini. Viongozi wa Kitaifa wa vyama watoke na tamko la pamoja kutaka TUME HURU YA UCHAGUZI.
HITIMISHO
Ndugu wanahabari, ni wazi mchakato wa uchaguzi huu wa serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji, hauwezi kuendelea kwa haki hasa baada ya wananchi kuonyesha hisia zao za kuichoka CCM katika hatua za awali katika uandikishaji wapiga kura. Serikali ya CCM itaendelea na gilba zake kuhakikisha inapoka demokrasia ili kujihalalishia ushindi kwa kutumia mabavu ya dola na mtandao mpana uliowekwa kwa kazi hiyo. Ndio maana vitisho vya waziri wa Mambo ya Ndani Kangi Lugola na DCI Robert Boaz vinaendelea kila uchao.
Tunaendelea kusisitiza msimamo wetu wa kujitoa kwenye uchaguzi na kuwataka wanachama wetu wote nchi nzima kuendelea kutekeleza agizo la Chama la kuandika barua za kujitoa kwenye uchaguzi. Aidha tunatoa wito kwa wanachama wetu kubaini wagombea bandia wa CCM waliopewa fomu kwa kugushi mihuri na barua za utambulisho maeneo kadhaa nchini ili hatua za kisheria ziweze kuchukuliwa dhidi yao.”
….
Joran Bashange
MWENYEKITI WA KAMATI YA KAMPENI NA UCHAGUZI TAIFA.
Yaani sasa hivi ilikuwa ni moto mmoja mpaka mtu akimbie kama Bolivia.Solution itapatikana kwa kufanya maamuzi magumu kama inavyofanyika katika mataifa mengine.Magu na CCM ni maadui wa demokrasia hivyo ni lazima zitumike mbinu/njia za kuwalazimisha waheshimu demokrasia na si vinginevyo.
Tusijidanganye!!!
Sawa sawaMSIMAMO WA ACT-WAZALENDO;
“HAKUNA TUME HURU, HAKUNA UCHAGUZI UTAKAOKUBALIKA NCHINI” WAZIRI SELEMANI JAFO AWAJIBIKE KWA KUHARIBU UCHAGUZI.
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Imetolewa leo Tarehe 11/11/2019
1. Mchakato wote wa Uchaguzi uanze upya: Lazima yote yaliyofanyika chini ya utaratibu wa sasa yafutwe, uchaguzi uahirishwe na mchakato wa uchaguzi uanze upya.
2. Wasimamizi wa Uchaguzi wote walioharibu mchakato wa uchaguzi huu wawajibishwe ili kukomesha tabia hii inayoharisha amani ya nchi.
3. Zitungwe Kanuni Mpya za Uchaguzi kwa maridhiano na makubaliano na Wadau wote hususani vyama vya siasa.
4. Iundwe Kamati Huru ya kusimamia Uchaguzi: Lazima maamuzi katika hatua zote za Uchaguzi yawe ya maridhiano na makubaliano ya vyama sio TAMISEMI, ambao hawana uhuru, uwazi na wala uwezo wa kutenda haki.
5. Waziri Selemani Jafo aitishe kikao cha pamoja cha vyama vyote vya siasa ili kukubaliana juu ya namna ya kusonga mbele Kwa utekelezaji wa mapendekezo yetu hayo. Kinyume na hivyo sisi ACT Wazalendo hatutashiriki Uchaguzi huu wa Tarehe 24 Novemba, 2019.
6. Kutokana na O-TAMISEMI kuwa Wizara iliyopo chini ya OFISI YA RAIS, tunamtaka Rais Magufuli afikirie upya kuiondoa ofisi hii Ikulu na kuirejesha kwa Waziri Mkuu kama ilivyokuwa awali ili ‘TAASISI YA URAIS IEPUKANE NA KASHFA ZA UHARIBIFU WA DEMOKRASIA NCHINI’
7. Tunatoa wito kwa Vyama vyote vya Siasa kutokubali hadaa ya Waziri Jafo na kutumia nafasi hii kuwa pamoja kudai Tume Huru ya Uchaguzi ili Uchaguzi wa mwaka 2020 usiwe na dosari tulizoshuhudia sasa. Bila Tume Huru ya Uchaguzi pasiwe na Uchaguzi wowote nchini. Viongozi wa Kitaifa wa vyama watoke na tamko la pamoja kutaka TUME HURU YA UCHAGUZI.
HITIMISHO
Ndugu wanahabari, ni wazi mchakato wa uchaguzi huu wa serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji, hauwezi kuendelea kwa haki hasa baada ya wananchi kuonyesha hisia zao za kuichoka CCM katika hatua za awali katika uandikishaji wapiga kura. Serikali ya CCM itaendelea na gilba zake kuhakikisha inapoka demokrasia ili kujihalalishia ushindi kwa kutumia mabavu ya dola na mtandao mpana uliowekwa kwa kazi hiyo. Ndio maana vitisho vya waziri wa Mambo ya Ndani Kangi Lugola na DCI Robert Boaz vinaendelea kila uchao.
Tunaendelea kusisitiza msimamo wetu wa kujitoa kwenye uchaguzi na kuwataka wanachama wetu wote nchi nzima kuendelea kutekeleza agizo la Chama la kuandika barua za kujitoa kwenye uchaguzi. Aidha tunatoa wito kwa wanachama wetu kubaini wagombea bandia wa CCM waliopewa fomu kwa kugushi mihuri na barua za utambulisho maeneo kadhaa nchini ili hatua za kisheria ziweze kuchukuliwa dhidi yao.”
….
Joran Bashange
MWENYEKITI WA KAMATI YA KAMPENI NA UCHAGUZI TAIFA.
That's the damage cannabis sativa can do to the previously sound mind.Huna lolote wewe nyumb! Unpopular to who? You shit or ass?