Hakuna Tume Huru, hakuna uchaguzi utakaokubalika nchini Waziri Selemani Jafo awajibike kwa kuharibu uchaguzi

Hakuna Tume Huru, hakuna uchaguzi utakaokubalika nchini Waziri Selemani Jafo awajibike kwa kuharibu uchaguzi

Haha haha haha haha.

Hatari sana mkuu, sasa ukisimamisha malipo ya b7 jamaa si atajinyonga, maana utakuwa umemnyima fursa ya kupata mkate wake wa kila siku.
Tutasitisha malipo maana unatema pumba sana
 
Wapinzani walinusa dalili za kushindwa

Wakaamua kijiondoa kukwepa aibu

Hivi kwa uchapakazi wa Magufuli kuna mtu ana muda wa kusikiliza Wapinzani?
Endelea kuropoka we zezeta la lumumba
 
Back
Top Bottom