Hakuna ubaya wowote wala ajabu yoyote Marais kupanda pamoja! Tulipanda basi moja na Rais Mkapa nchini Sweden

Wanabodi

Hii issue ya Rais Samia kupandishwa basi moja na viongozi wengine wa Afrika kwenye mazishi ya Malkia, imegubikwa maneno mengi, ujuaji mwingi, na kujua kwingi, lakini ukweli wennyewe halisi, tatiza ni ushamba tuu mwingi zaidi ya uhalisia!. Watu wakimuona Rais lazima apande benzi na kutembea na msafara, basi wanadhani Rais akipanda basi anakuwa sio Rais au amedharauliwa!. Nini basi, watu tumewaona marais wanatembea kwa miguu na wengine wanatumia baiskeli kwenda kazini!

Natoa wito kwa sisi Wabongo tupunguze ushamba jameni!, hakuna kitu cha ajabu yoyote kwa viongozi kupanda usafiri wa pamoja wa basi as long as issue za kiusalama zimezingatiwa.

Mwaka 1998, Katika ziara yake nchini Sweden, rais Benjamin Mkapa na ujumbe wake na mwenyeji wake, Waziri Mkuu wa Sweden, na sisi waandishi wa habari, wote tulipanda basi moja kutoka Stockholm kwenda Uppsala. Hivyo ni jambo la kawaida sana, when in Rome, do as the Romans does! Misafara ya viongozi inachosha, inatesa na kurudisha nyuma maendeleo, IGP Sirro peleka Traffic Sweden kujifunza misafara ya wenzetu, Time is Money!

Mwaka 1995 tulisafiri ndege moja na Waziri Mkuu Fredric Sumaye, kwenda South aboard Alliance Air. Ndege ikafika few minutes ahead of schedule, hivyo kushuka abiria wote mnaingia kwenye zile basi trums za airport, hivyo tukashuka na Sumaye na mkewe na walinzi wote kwenye basi na halina siti!, hivyo tunapanda basi moja na Waziri Mkuu wa nchi yako halafu anashika mchuma!

Ile trum inaondoka ndipo motorcade ya kumpokea inaingia hapo uwanjani, huku balozi Ami Mpungwe behind the stearing wheel akiendesha mwenyewe, anashuka na kupungia mkono trum lisimame, ndipo Waziri Mkuu wetu na msafara wake wakaachia mchuma na kupokelewa!

Kiukweli sisi wabongo kwa kushadadia mambo madogo madogo yasiyo na maana yoyote!, nilidhani watu wangenote organization ya msiba, watu wanavyolia kizungu! Hakuna watu kughalaghala na kukanyagana, hakuna Red Cross walio busy kubeba watu waliozimia.

Misiba TV zetu huku misiba ya viongozi ni nyimbo za maombolezo, TV za wenzetu msiba wa kiongozi ni documentaries za her legacy!. Full time ni interviews kumhusu Malkia, sikuona kiongozi yoyote akihojiwa hata Waziri Mkuu wao!, huku ni mihotuba na mihotuba ya viongozi kuchoshana tuu bure!

Msafara wa mwili just 5 cars piki piki tatu mbele, mbili nyuma, ingekuwa ni huku!. Kunapotokea misiba kama hii, ya wenzetu walio staarabika, we should use them as a learning experience, sisi tunashikia bango Rais wetu kupanda basi as if Mama Samia ni katope, angeyeyuka!

Mbona viongozi kupanda mabasi ya pamoja ni kawaida, hili jambo linafanyika kila siku kwenye mikutano ya nchi za Jumuiya ya Madola and in fact its a good thing viongozi wana ji mix na ku mingle!

Hata siku ya Uhuru pale uwanja wa taifa, mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao, wanakuja pale Karimjee wanakuwa dropped off, kisha wanapanda usafiri wa pamoja, wanapelekwa uwanja wa Taifa na mabasi maalum, baada ya shughuli mabasi yanawarudisha Karimjee ndipo kila mmoja anapeperusha tena bendera yake kwenye magari yao!

Kipi cha ajabu jameni?, ushamba ukizidi nao ni issue. Natoa wito kwa Venus Nyota, fanya utaratibu wa kusafiri na few private media ili wakati wewe unatuma press release za hard news, hao private media watume color stories, Watanzania wapatiwe exposure na wajue mambo mengine ya mambo ya kimataifa.

Paskali

Rejea Ukiwa Rais katika nchi za Kiafrika unapewa utukufu uliopitiliza
Hujaelewa kabisa! Hapa historia haihitajiki! Tunaangalia tukio ambalo limetokea. Na shida siyo Rais Samia au viongozi wa Africa kupanda basi. Kinachojadiliwa ni ngozi nyeusi na nyeupe! Ngozi nyeupe wamepandishwa gari maalumu na wengine kuingia na misafara! Niambia kiongozi gani wa Africa alipanda gari maalum achilia mbali msafara! Ni dhahiri ubaguzi haujaisha duniani na waliobaguliwa siyo marais wetu tu bali waafrika wote! Hicho ndiyo kitu tulichojifunza na kituwezeshe kuwa na mtizamo mpya kuhusu dunia. Mimi siyo mwandishi. Nadhani wewe kama mwandishi unahitaji kutulia na kufikiria nje ya box kabla hujakurupuka kuandika kitu chochote.
 
Hatushangai peke yetu, Kiongozi wetu pia ameonekana kwenye basi akishangaa kupandishwa humo na kutofurahia kuchukuliwa picha!

Kama ni kweli ni jambo la kawaida kupanda basi, mbona hawapandi mabasi special kwenda Dodoma bungeni Ili kupunguza gharama na kuachana V8?
Hiyo kuona rais wetu kutokufurahia ni interpretation yako. Hakuna aliyelazimishwa kwenda msibani na taratibu za usafiri ziliwekwa wazi. Pili, umeshaambiwa tuna ushamba ndiyo maana kila kiongozi atasafiri na gari peke yake, maana anaona ndiyo ukubwa. Wakati wa mwalimu wabunge walipanda mabasi toka Dar kwenda Dodoma.
 
Wanabodi

Hii issue ya Rais Samia kupandishwa basi moja na viongozi wengine wa Afrika kwenye mazishi ya Malkia, imegubikwa maneno mengi, ujuaji mwingi, na kujua kwingi, lakini ukweli wennyewe halisi, tatiza ni ushamba tuu mwingi zaidi ya uhalisia!. Watu wakimuona Rais lazima apande benzi na kutembea na msafara, basi wanadhani Rais akipanda basi anakuwa sio Rais au amedharauliwa!. Nini basi, watu tumewaona marais wanatembea kwa miguu na wengine wanatumia baiskeli kwenda kazini!

Natoa wito kwa sisi Wabongo tupunguze ushamba jameni!, hakuna kitu cha ajabu yoyote kwa viongozi kupanda usafiri wa pamoja wa basi as long as issue za kiusalama zimezingatiwa.

Mwaka 1998, Katika ziara yake nchini Sweden, rais Benjamin Mkapa na ujumbe wake na mwenyeji wake, Waziri Mkuu wa Sweden, na sisi waandishi wa habari, wote tulipanda basi moja kutoka Stockholm kwenda Uppsala. Hivyo ni jambo la kawaida sana, when in Rome, do as the Romans does! Misafara ya viongozi inachosha, inatesa na kurudisha nyuma maendeleo, IGP Sirro peleka Traffic Sweden kujifunza misafara ya wenzetu, Time is Money!

Mwaka 1995 tulisafiri ndege moja na Waziri Mkuu Fredric Sumaye, kwenda South aboard Alliance Air. Ndege ikafika few minutes ahead of schedule, hivyo kushuka abiria wote mnaingia kwenye zile basi trums za airport, hivyo tukashuka na Sumaye na mkewe na walinzi wote kwenye basi na halina siti!, hivyo tunapanda basi moja na Waziri Mkuu wa nchi yako halafu anashika mchuma!

Ile trum inaondoka ndipo motorcade ya kumpokea inaingia hapo uwanjani, huku balozi Ami Mpungwe behind the stearing wheel akiendesha mwenyewe, anashuka na kupungia mkono trum lisimame, ndipo Waziri Mkuu wetu na msafara wake wakaachia mchuma na kupokelewa!

Kiukweli sisi wabongo kwa kushadadia mambo madogo madogo yasiyo na maana yoyote!, nilidhani watu wangenote organization ya msiba, watu wanavyolia kizungu! Hakuna watu kughalaghala na kukanyagana, hakuna Red Cross walio busy kubeba watu waliozimia.

Misiba TV zetu huku misiba ya viongozi ni nyimbo za maombolezo, TV za wenzetu msiba wa kiongozi ni documentaries za her legacy!. Full time ni interviews kumhusu Malkia, sikuona kiongozi yoyote akihojiwa hata Waziri Mkuu wao!, huku ni mihotuba na mihotuba ya viongozi kuchoshana tuu bure!

Msafara wa mwili just 5 cars piki piki tatu mbele, mbili nyuma, ingekuwa ni huku!. Kunapotokea misiba kama hii, ya wenzetu walio staarabika, we should use them as a learning experience, sisi tunashikia bango Rais wetu kupanda basi as if Mama Samia ni katope, angeyeyuka!

Mbona viongozi kupanda mabasi ya pamoja ni kawaida, hili jambo linafanyika kila siku kwenye mikutano ya nchi za Jumuiya ya Madola and in fact its a good thing viongozi wana ji mix na ku mingle!

Hata siku ya Uhuru pale uwanja wa taifa, mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao, wanakuja pale Karimjee wanakuwa dropped off, kisha wanapanda usafiri wa pamoja, wanapelekwa uwanja wa Taifa na mabasi maalum, baada ya shughuli mabasi yanawarudisha Karimjee ndipo kila mmoja anapeperusha tena bendera yake kwenye magari yao!

Kipi cha ajabu jameni?, ushamba ukizidi nao ni issue. Natoa wito kwa Venus Nyota, fanya utaratibu wa kusafiri na few private media ili wakati wewe unatuma press release za hard news, hao private media watume color stories, Watanzania wapatiwe exposure na wajue mambo mengine ya mambo ya kimataifa.

Paskali

Rejea Ukiwa Rais katika nchi za Kiafrika unapewa utukufu uliopitiliza
Pascal Nafikiri maneno - 'ubaguzi wa rangi' unayajua! Na pia katika hoja yako, umetoa mfano wa South Africa, sasa kilichotokea Uingereza ni hicho! Je! Waandaaji wa shughuli za mazishi walitumia kigezo gani kuwaweka waafrika basi moja? - was it country initial alphabet au It's leader's name initial alphabet! Kwanini hakuna race nyingine kwenye bus? Tuliokaa South Africa, tuna fahamu sana mpangilio huo - mnapo jikuta weusi, wahindi, wazungu etc mmepangwa wenyewe kwa wenyewe! Kwa mfano, waafrika watatu hamjuani, mmekata tiketi ya ndege kutoka Johannesburg kwenda Capetown na mme nunua ticket siku tofauti! Siku ya safari mnajikuta mmepangiwa kukaa pamoja zile siti tatu! Usiwatetee - waafrika walibaguliwa! Mimi sina tatizo na bus, nina tatizo na ubaguzi wa hali ya juu!
 
Hiyo kuona rais wetu kutokufurahia ni interpretation yako. Hakuna aliyelazimishwa kwenda msibani na taratibu za usafiri ziliwekwa wazi. Pili, umeshaambiwa tuna ushamba ndiyo maana kila kiongozi atasafiri na gari peke yake, maana anaona ndiyo ukubwa. Wakati wa mwalimu wabunge walipanda mabasi toka Dar kwenda Dodoma.
Kwanini sasa siku hizi Sasa hawapandi?
 
Wanabodi

Hii issue ya Rais Samia kupandishwa basi moja na viongozi wengine wa Afrika kwenye mazishi ya Malkia, imegubikwa maneno mengi, ujuaji mwingi, na kujua kwingi, lakini ukweli wennyewe halisi, tatiza ni ushamba tuu mwingi zaidi ya uhalisia!. Watu wakimuona Rais lazima apande benzi na kutembea na msafara, basi wanadhani Rais akipanda basi anakuwa sio Rais au amedharauliwa!. Nini basi, watu tumewaona marais wanatembea kwa miguu na wengine wanatumia baiskeli kwenda kazini!

Natoa wito kwa sisi Wabongo tupunguze ushamba jameni!, hakuna kitu cha ajabu yoyote kwa viongozi kupanda usafiri wa pamoja wa basi as long as issue za kiusalama zimezingatiwa. Viongozi wa Africa kuwekwa basi moja, sio ubaguzi, ni kuwaweka like people close together, Asian nao waliwekwa basi lao, European nao na lao etc ili kule wazungumze mfano Mama Samia was close to Ruto!.

Mwaka 1998, Katika ziara yake nchini Sweden, rais Benjamin Mkapa na ujumbe wake na mwenyeji wake, Waziri Mkuu wa Sweden, na sisi waandishi wa habari, wote tulipanda basi moja kutoka Stockholm kwenda Uppsala. Hivyo ni jambo la kawaida sana, when in Rome, do as the Romans does! Misafara ya viongozi inachosha, inatesa na kurudisha nyuma maendeleo, IGP Sirro peleka Traffic Sweden kujifunza misafara ya wenzetu, Time is Money!

Mwaka 1995 tulisafiri ndege moja na Waziri Mkuu Fredric Sumaye, kwenda South aboard Alliance Air. Ndege ikafika few minutes ahead of schedule, hivyo kushuka abiria wote mnaingia kwenye zile basi trums za airport, hivyo tukashuka na Sumaye na mkewe na walinzi wote kwenye basi na halina siti!, hivyo tunapanda basi moja na Waziri Mkuu wa nchi yako halafu anashika mchuma!

Ile trum inaondoka ndipo motorcade ya kumpokea inaingia hapo uwanjani, huku balozi Ami Mpungwe behind the stearing wheel akiendesha mwenyewe, anashuka na kupungia mkono trum lisimame, ndipo Waziri Mkuu wetu na msafara wake wakaachia mchuma na kupokelewa!

Kiukweli sisi wabongo kwa kushadadia mambo madogo madogo yasiyo na maana yoyote!, nilidhani watu wangenote organization ya msiba, watu wanavyolia kizungu! Hakuna watu kughalaghala na kukanyagana, hakuna Red Cross walio busy kubeba watu waliozimia.

Misiba TV zetu huku misiba ya viongozi ni nyimbo za maombolezo, TV za wenzetu msiba wa kiongozi ni documentaries za her legacy!. Full time ni interviews kumhusu Malkia, sikuona kiongozi yoyote akihojiwa hata Waziri Mkuu wao!, huku ni mihotuba na mihotuba ya viongozi kuchoshana tuu bure!

Msafara wa mwili just 5 cars piki piki tatu mbele, mbili nyuma, ingekuwa ni huku!. Kunapotokea misiba kama hii, ya wenzetu walio staarabika, we should use them as a learning experience, sisi tunashikia bango Rais wetu kupanda basi as if Mama Samia ni katope, angeyeyuka!

Mbona viongozi kupanda mabasi ya pamoja ni kawaida, hili jambo linafanyika kila siku kwenye mikutano ya nchi za Jumuiya ya Madola and in fact its a good thing viongozi wana ji mix na ku mingle!

Hata siku ya Uhuru pale uwanja wa taifa, mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao, wanakuja pale Karimjee wanakuwa dropped off, kisha wanapanda usafiri wa pamoja, wanapelekwa uwanja wa Taifa na mabasi maalum, baada ya shughuli mabasi yanawarudisha Karimjee ndipo kila
Nafikiri you don’t get the logic, karibia kila mtu anajua kwamba siyo ishu kupanda basi, ishu ni kwamba kwa nini huku kwetu hilo haliwezekani? Umeshaona msafara wa Waziri wa Fedha Mwigulu? Kwa nini tusimamishwe masaa 2 kupisha mkubwa apite?

Bora hata zamani ilikuwa ni raisi, Makamu wake na Waziri Mkuu basi, nakumbuka hata Mkuu wa Majeshi tulikuwa naye foleni, lkn leo hii kila mtu anapewa msafara, sasa kwa nini? Mbona huko kwa Wazungu mnakoomba hela mnapanda basi kutunza mazingira na kubana matumizi?

Umetumia nguvu nyingi kuelezea jambo lililo wazi. Nadhani hakuna anayeshangaa viongozi hao kupanda basi huko Uingereza. Kilichowakera wengi ni ule ukweli kwamba kwa nini viongozi hawa hawa wanaoonekana "humble" wamekaa kwenye basi huko kwa wazungu wakiwa huku nyumbani wanahitaji msafara wa ma-vieite 50+? Kama kwa matajiri huko convoy ya kiongozi inakuwa na gari zisizozidi tano (tena gari za kawaida tu), kwa nini hao viongozi wetu wakija huku wanahitaji mamisafara hayo makubwa yasiyo na faida? Umetaja Norway sijui Sweden, misafara ya viongozi huko ikoje?

Kuwa mwangalifu sana kuita watu wajinga na sijui washamba. Mara nyingi ukichunguza vizuri utakuta kuna mantiki kubwa imejificha katika "ujinga" na "ushamba" wao.
Kunywa bia au soda ntalipa Ngosha.Umenena vyema hawezi kutuita wajinga kwa kutoa maoni yetu.
 
Wanabodi

Hii issue ya Rais Samia kupandishwa basi moja na viongozi wengine wa Afrika kwenye mazishi ya Malkia, imegubikwa maneno mengi, ujuaji mwingi, na kujua kwingi, lakini ukweli wennyewe halisi, tatiza ni ushamba tuu mwingi zaidi ya uhalisia!. Watu wakimuona Rais lazima apande benzi na kutembea na msafara, basi wanadhani Rais akipanda basi anakuwa sio Rais au amedharauliwa!. Nini basi, watu tumewaona marais wanatembea kwa miguu na wengine wanatumia baiskeli kwenda kazini!

Natoa wito kwa sisi Wabongo

Paskali
Hii issue sasa inahusishwa na kutumbuliwa kwa MFA Balozi Mulamula, naendelea kusisitiza Rais Samia ni simple, humble na down to earth kama nilivyo muelezea hapa
Wanabodi,
kiukweli huyu ni mwanamke wa kupigiwa mfano, mtanisamehe sina maneno ya Kiswahili ya kujitosheleza kumuelezea, she is just so womanly, so genuine, so simple, very humble na down to earth!, ana a very rare charisma, which is very hard to find kwa viongozi wetu
Paskali
Mulamula ametumbuliwa. Maswali ni Mengi lkn yapo mawili makubwa yaliyoaibisha nchi yetu kimataifa, yamkini yamesabishwa na makosa ya balozi zetu (zilikuwa chini ya Mulamula) kushindwa kuratibu mambo vizuri?

1. Je, ni ile kadhia ya mama kupandishwa school bus kwenye mazishi ya malkia?

Tina haki ya kuuliza na kujua maana wanakula Kodi na tozo zetu.
Mkuu Sexless , kwanza naungana na wewe kwenye the quest for information, we are living in a world of information Science, akiteua atoe sababu na akitumbua pia atoe sababu. Kwa vile hatujahi ku demand rais atoe sababu za kumteua fulani, siku akitumbua pia hatuna justification ya ku demand kupewa sababu!.

Nimekuleta hapa ili kukujulisha kuwa huyu Mama ni very humble and down to earth, hivyo hana tatizo kabisa na ile issue ya London bus kama nilivyo eleza hapa Hakuna ubaya wowote wala ajabu yoyote Marais kupanda pamoja! Tulipanda basi moja na Rais Mkapa nchini Sweden
P
 
Back
Top Bottom