Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Huyo anatafuta uteuzi tu wala hana lolote, mbona wakiwa Tanzania hawapandi mabasi au Tanzania hakuna mabasi?Sawa tunakubali kaka. Siye tumeona yawezekana viongozi wetu wanaweza bana matumizi kwenye shughuli kama hizo. Iwe mikutano ya chama. Kumpokea rais kutoka nje. Na hafla nyingine zozote kubwa. Yawezekana wakakwea hiace. Coaster na hata daladala. Kumbuka nchi yetu maskini wa kutupa. Kuna ubaya gani viongozi wetu wenye weledi wakaamuwa kufanya hivyo kama ulaya?!
Ya nini kumpa shida zaidi mlalahoi wakati yawezekana?!