Hakuna ubaya wowote wala ajabu yoyote Marais kupanda pamoja! Tulipanda basi moja na Rais Mkapa nchini Sweden

Hakuna ubaya wowote wala ajabu yoyote Marais kupanda pamoja! Tulipanda basi moja na Rais Mkapa nchini Sweden

Wewe nawe.

Sasa kwani wewe ni rais wa kujifananisha. Ulipanda so what?

Wewe ndio mshamba hujaelewa kwa nini watu wa Nazungumzia marais kupandishwa kwenye bus wakati wakiwa nchini mwao misafara mikubwa. Ujumbe wanapewa wajifunze kubana matumizi.

Sasa nani mshamba hapa kama sio wewe na mwenzio fulani.

Kuwaita WaTz washamba kwa kuwa ninyi mlifika Ulaya basi mnaona mnajjua sanaaaa
Punguza dharau bro.
 
Wewe nawe.

Sasa kwani wewe ni rais wa kujifananisha. Ulipanda so what?

Wewe ndio mshamba hujaelewa kwa nini watu wa Nazungumzia marais kupandishwa kwenye bus wakati wakiwa nchini mwao misafara mikubwa… Ujumbe wanapewa wajifunze kubana matumizi.

Sasa nani mshamba hapa kama sio wewe na mwenzio fulani.

Kuwaita WaTz washamba kwa kuwa ninyi mlifika Ulaya basi mnaona mnajjua sanaaaa
Punguza dharau bro.
Sio kubana matumizi, ni logistics kutoruhusu misafara ya kila rais kuwa na magari yake mwenyewe.

Ni suala dogo sana ila waafrika kama kawaida yetu tunakuza sana mambo.
 
Nafikiri you don’t get the logic, karibia kila mtu anajua kwamba siyo ishu kupanda basi, ishu ni kwamba kwa nini huku kwetu hilo haliwezekani? Umeshaona msafara wa Waziri wa Fedha Mwigulu? Kwa nini tusimamishwe masaa 2 kupisha mkubwa apite? Bora hata zamani ilikuwa ni raisi, Makamu wake na Waziri Mkuu basi, nakumbuka hata Mkuu wa Majeshi tulikuwa naye foleni, lkn leo hii kila mtu anapewa msafara, sasa kwa nini ? Mbona huko kwa Wazungu mnakoomba hela mnapanda basi kutunza mazingira na kubana matumizi?
Hapa kwa watu kama Pascal Mayalla, ni kama unampigia mbuzi gitaa. Naambiwa anao upeo wa read between the lines lakini hapa katoka kapa kabisaaa, zero. Kashindwa kuelewa kwa nini watu wameshupalia hilo jambo! Lakini no problem, kwa binadamu kila moja na zake!
 
Sio kubana matumizi, ni logistics kutoruhusu misafara ya kila rais kuwa na magari yake mwenyewe.

Ni suala dogo sana ila waafrika kama kawaida yetu tunakuza sana mambo.
Wewe nawe umesoma ulichoandika?

Tunakemea matumizi mabaya ya pesa za walipa kodi. Hili neno logistic ndio unaona umeeleza vizuri… hebu ondoeni huu upulusi wenu.

Eti waafrika wanakuza mambo. Ok tunakuza kwahiyo next
 
JF ni vyema ikawa moderated. Hii forum imeanza kugeuka kama mkutano wa wendawazimu.

Ni vyema ikawa forum ya critical arguments na mawazo yenye kujenga. Hii trend ya utoto utoto imeanza kushika kasi ya ajabu mno.
Ndugu yangu nisaidie kusema. Pamoja na kuwa uhuru wa kila mtu kutoa mawazo yake ni jambo jema na ndiyo lengo hasa la JF, lakini siku hizi kuna thread zainaanzishwa inakuwa ni aibu kabisa kwa hii forum. Tungeomba sana ma-moderator wawe wanaondoa thread za kipuuzi. Watu wenye busara na akili wengi wamekimbia hapa kwa sababu ya thread za kupuuzi.
 
Mzee Retired punguza kidogo hasira, daah.
Sikutegemera kupanda bus kuwa issue! lakini kwa vile tumezoea kufugwa na watawala being objects of watawala< basi kila mmoja anataharuki. Kenye Ris hana utukufu kama wa kwetu ndiyo maana Rotto may be alikuwa anacheka! Jitu kama Museveni linasafiri na choo kwenye ndege! Can you imagine.
 
Ndugu yangu nisaidie kusema. Pamoja na kuwa uhuru wa kila mtu kutoa mawazo yake ni jambo jema na ndiyo lengo hasa la JF, lakini siku hizi kuna thread zainaanzishwa inakuwa ni aibu kabisa kwa hii forum. Tungeomba sana ma-moderator wawe wanaondoa thread za kipuuzi. Watu wenye busara na akili wengi wamekimbia hapa kwa sababu ya thread za kupuuzi.
You nailed it brother.
 
Wewe nawe.

Sasa kwani wewe ni rais wa kujifananisha. Ulipanda so what?

Wewe ndio mshamba hujaelewa kwa nini watu wa Nazungumzia marais kupandishwa kwenye bus wakati wakiwa nchini mwao misafara mikubwa… Ujumbe wanapewa wajifunze kubana matumizi.

Sasa nani mshamba hapa kama sio wewe na mwenzio fulani.

Kuwaita WaTz washamba kwa kuwa ninyi mlifika Ulaya basi mnaona mnajjua sanaaaa
Punguza dharau bro.
Pakawa jana kulikuwa na hoja mbili. Hoja ya kwanza ni hii unayoizungumzia wewe ambayo kila mtu mwenye akili anaiunga mkono. Lakini pia kulikuwa na wajinga flani walikuwa wanasema rais kavunjiwa heshima, wakafika mbali kiasi cha kuanzisha thread ya kutaka serikali ihoji au itoe tamko. Hawa ndiyo Pascal anawazungumzia, yaani wajinga wanaodhani rais kupanda basi ni kudhalilishwa.
 
Naunga mkono Hoja, wanaoshadadia hili hawana uelewa au hawautaki huo uelewa wanaona kama dharau while it is not! KILA rais angeenda na msafara wake Huko kungekalika? Ule ni Msiba sio ziara ya Rais!
 
Back
Top Bottom