Hakuna ubishi, bila biblia, hakuna uislam. Kama ukristo ungedukua na kukopi na kupaste quran, hali ingekuwaje?

Hakuna ubishi, bila biblia, hakuna uislam. Kama ukristo ungedukua na kukopi na kupaste quran, hali ingekuwaje?

vyote hivo ukristo na uislamu ni utapeli

Dini hizi ni mpango wa watu fulani.
 
50thebe

Je, wajua kuwa Zaburi ya Daud pia imo kwenye Quran?

HUU UONGO UMEUTOA WAPI?

UNAWEZA KUTUAMBIA ZABURI IPO KWENYE SURA IPI NDANI YA QURAN?

KWANZA UNAFAHAMU MAANA YA NENO "ZABURI"??
 
50thebe

Je, wajua kuwa Zaburi ya Daud pia imo kwenye Quran?

HUU UONGO UMEUTOA WAPI?

UNAWEZA KUTUAMBIA ZABURI IPO KWENYE SURA IPI NDANI YA QURAN?

KWANZA UNAFAHAMU MAANA YA NENO "ZABURI"??

Ikiwa hujui kuhusu maandiko ya manabii hawa, inabidi uniache nitambe na uongo wangu ....maana mimi sio shule ya awali, wala sio shule ya secondary wala sio chuo kikuu kusema nikufundishe upate elimu.
 
Attachments

  • IMG_20241225_055402.jpg
    IMG_20241225_055402.jpg
    58.8 KB · Views: 2
Ikiwa hujui kuhusu maandiko ya manabii hawa, inabidi uniache nitambe na uongo wangu ....maana mimi sio shule ya awali, wala sio shule ya secondary wala sio chuo kikuu kusema nikufundishe upate elimu.
Sijakuomba picha ,jibu hayo maswali niliyokuuliza

Simple tu
 
Hiyo ya "simple tu" hainihusu.

Kama hujui habari za Sayyidna Dawud sio jukumu langu kukujulisha.
Huna jibu ,nilitaka nikudake ,Quran eti Ina zaburi

Kwanza tu Neno Zaburi hata maana yake hujui
 
Huna jibu ,nilitaka nikudake ,Quran eti Ina zaburi

Kwanza tu Neno Zaburi hata maana yake hujui

Rudi ukasome upya. Huna ujualo kuhusu Quran. Kuitwa Hamis haina maana kuwa unayo elimu ya kutosha kuhusu Quran na Uislam.
 
kwa hiyo kuna Nafsi tatu Ebu zitaje kwa vyeo vyake hizo nafsi.
Jaribu kuelewa, MUNGU NI MMOJA MUNGU BABA, NA NDIYE ALIYEMTUMA YESU KUJA KUHUBIRI NENO LA MUNGU HAPA DUNIANI, NA BAADA YA KUONDOKA KWA YESU MUNGU BABA AKAACHILIA ROHO MTAKATIFU AKAPATE KUISHI NDANI YETU NA KUTUONGOZA KATIKA ILE KWELI ALIYOIHUBIRI YESU. NA ROHO MTAKATIFU TUTADUMU NAYE MPAKA UKAMILIFU WA MFUMO WA MAMBO (KIHAMA)
 
Acha kuidanganya nafsi yako kama kuna Baba inamaana kuna.....
 
Acha kuidanganya nafsi yako kama kuna Baba inamaana kuna.....
MUNGU MMOJA (YESU aliyesema "anipokeaye Mimi ampokea yule aliyenituma", pia andiko linasema "kama hujamkili YESU kuwa mwokozi HUWEZI kaurithi ufalme WA mbingu, maana naye atakukataa mbele za MUNGU Baba MUNGU MKUU, na muumba WA vitu vyote vinavyoonekana na visivyoonekana Kwa macho ya nyama*
 
Wakristo Wanamtambuaje Yesu kwenye Moja ya Nafasi Hizi🙁a)Nabii Aliyetumwa Na Mungu? Au (b) Mwana wa Mungu?Au (c) Mungu?
 
ume
Wakristo Wanamtambuaje Yesu kwenye Moja ya Nafasi Hizi🙁a)Nabii Aliyetumwa Na Mungu? Au (b) Mwana wa Mungu?Au (c) M
YESU sio nabii, yeye ni Mwana wa MUNGU, alikuta ulimwenguni Kwa umbo la kibinadamu kupitia uweza WA roho MTAKATIFU (roho WA MUNGU alimfunika Bi marium ikatokeza mimba) YESU alikuja kuuokoa ulimwengu na dhambi yaani alileta ubatizo WA ondoleo la dhambi, Kwa maana biblia inaoonesha kabisa mipango WA MUNGU Wa kumtuma mwanae ili akafanyike sadaka ya ondoleo la dhambi badala ya MWANADAMU, pitia kisa Cha Ibrahim kumchinja Isaka. YESU ni MUNGU MWANA, ILA BILA MUNGU MKUU HAKUNA YESU, KWAHYO NAYE YESU ANAPOKEA MAMLAKA KUTOKA KWA MUNGU MKUU.
 
Ametakasika Mwenyezi Mungu!Kwa hiyo Unamaanisha Wakristo Wote Hawana Dhambi? Yaani Mungu Hakuwa na Mpango Mwingine Mpaka Hamfanye Binadamu kuwa Kikomboleo Cha Dhambi? Swala la Ibrahimu Kumchinja Mwanawe Ilikuwa ni Kupima Imani Ya Baba Na Mtoto Haina Uhusiano wowote Na Tukio la Kutungwa La Yesu.
 
Quran 4:171 in Kiswahili Kiswahili | an-Nisa' 171. Enyi Watu wa Kitabu! Msipite kiasi katika dini yenu, wala msimseme Mwenyezi Mungu ila kwa lilio kweli. Hakika Masihi Isa mwana wa Maryamu ni Mtume wa Mwenyezi Mungu, na neno lake tu alilo mpelekea Maryamu, na ni roho iliyo toka kwake.

Wanalisoma hili andiko kwenye kitabu chao na bado wanasema uislamu ulikuwepo toka zamani.
 
Tuangalie sifa za Yesu kama zilivyoandikwa katika quran na biblia halafu tujadili je ni kweli yeye ni binadamu(Mtu ) kama Waislamu wanavyodai?
1.Alifunga siku 40 bila kula
2.Yeye ni neno la Mungu na Pia ni roho toka kwake
3.Hana dhambi hata chembe(Inasemekana Hakuna binadamu asiye na dhambi,hata mtume alikuwa na dhambi)
4.Anasamehe Dhambi(Kwa ndugu zetu hii ni shirk kwa sababu ni kazi ya Mungu pekee)
5.Atahukumu binadamu(Kwa ndugu zetu hii ni shirk kwa sababu hii ni kazi ya Mungu pekee)
6.Yuko mbinguni kwa Mungu(Amekaribishwa kwa Mungu)
7.Ana heshima duniani na Akhera
8.Aliumba na kupulizia pumzi ya Uhai(Kwa ndugu zetu hii ni shirk ,kwa sababu hii ni kazi ya Mungu pekee)
9.Anaona yaliyo moyoni kwa mtu
10.Yesu alikuwa na wanafunzi 12 hata quran inakubaliana na hili,ila imeshindwa kuwataja majina kwa sababu wana majina ya kikristo.(Swali la kujiuliza,anawezaje kuteua wanafunzi wake na wakati yeye mwenyewe ni mtume tu katumwa na Mungu)
11.Alitembea juu ya Maji na alituliza dhoruba
12.Aliponya vipofu na kufufua wafu..(Hii nayo ni shirk,Mungu pekee ndio anaweza kufufua wafu).
Katika Uislamu kuna hili neno Shirk,limetiliwa mkazo sana.Ila cha ajabu katika utetezi wao kutetea kazi alizokuwa anazifanya Yesu wanasema alipewa Idhini na Allah.Swali ni je ,inakuaje Allah anapinga shiriki na wakati huo huo anampa idhini binadamu awe na nguvu sawa na za kwake ? Mfano kupulizia pumzi ya uhai..ina maana Allah alimpulizia pumzi yesu halafu Yesu akapulizia pumzi kwa kile kiumbe ndio kikawa hai au alifanyaje fanyaje?
 
Bila biblia na ukristo, hakuna quran wala uislam. Quran na uislam vimejengwa kwenye torati ambayo ilianzia kwenye ukristo. Hadithi zake kuu kama vile uumbaji wa Adam na Hawa, ukuu wa Ibrahim kama baba wa wote, sharia, tabia na mengine vina asili kwenye torati. Najiuliza. Kama ukristo ungedukua quran, ingekuwaje?
Nyuzi mnaanzisha nyie badae mnalaumu waislamu
 
Back
Top Bottom