Hakuna Ubishi Mwabukusi ni Mwanaharakati, Je TLS Yake Iwe ya Kiharakati, Au Asilete Harakati Zake kwenye TLS Yetu, Ibaki Kuwa Profesheno Body?

Mala useme TLS yake mala useme yetu,Hebu Tuliza kichwa unafki mbaya Paskali
Ni mara sio mala!,
TLS yetu ni kumaanisha yetu sisi wonasheria wote.
TLS yake ni TLS ya awamu yake kama ilivyo TLS ya Sungusia, TLS ya Lissu etc!.
Hata Tanzania ni nchi yetu, hivyo tuna iita Tanzania yetu, na pia sasa ni Tanzania ya Samia.
P
 
Ni mara sio mala!,
TLS yetu ni kumaanisha yetu sisi wonasheria wote.
TLS yake ni TLS ya awamu yake kama ilivyo TLS ya Sungusia, TLS ya Lissu etc!.
Hata Tanzania ni nchi yetu, hivyo tuna iita Tanzania yetu, na pia sasa ni Tanzania ya Samia.
P
Ikishaku TLS yetu inatosha, haitakuwa yake cz hana ownership ya Chama Yule. Neno ,Yake,Yao Yetu ni Mofomu milikishi,
Rejea Kiswahili darasa la tano Mpuuzi wa mwisho wewe.
 
Umeandika ili baadae ionekane uliwai kuandika ..
Watu tofauti tofauti, wana uwezo tofauti, wapo wenye uwezo to read in between the lines na wenye uwezo akisoma kitu, anauwezo wa kubaini the motives behind.

Kitendo cha wewe kudhani nimeandika ili tuu baadae uonekane uliwahi kuandika, then wewe sii miongoni mwa watu wenye uwezo wa kubaini the motives behind and the underlying facts.
Ukilisoma bandiko hili kwa makini huku umetulia, kama ubongo wako una IQ ya kukidhi kiwango cha kubaini the motives behind, then utabaini the motives behind bandiko hili.
Hata hivyo, even if you're not, lakini bado naheshimu mawazo yako hata kama you are not right.
P
 
Haters kama kawaida yenu.
 
Kumbe kabla sheria haijatungwa TLS kama wadau wanapewa waipitie!! Sasa walikuwa wapi siku zote sheria zisizo rafiki zikipitishwa?
Kwani wao ni wabunge hadi wazipitishe?

maoni kuhusu Mswaada wa Sheria ya uchaguzi na Tume ya Uchaguzi umeona ccm imechukua hata moja?

Wewe usidhani ccm wao ni wajinga wachukue maoni yatakayo waondosha madarakani.
 
P
P ndio kusema unataka TLS iliyopoa kama ya akina edward hosea?
 
Hata mayala ni wakili.
Tena mwanasheria msomi.
 
Mtajuana wenyewe mliomchagua uzuri niliwapa tahadhari mapema.

Hata hivyo amesema hana Mpango wa kupinga Kila kitu Cha Serikali ila atahakikisha amri za mahakama zinaheshimiwa.
 
Kwa vile yeye ni Mwanaharakati, namuomba sana, chonde chonde asituletee uana harakati wake kwenye TLS yetu , TLS sio chama cha siasa, sio chama cha ki harakati, TLS ni a Professional Body.
Umeandika upumbavu wa kiwango cha hali ya juu Sana Brother! Kila siku unazidi kuwa na maandiko ya hovyo, kwanini unaandika kwa hisia hivi na kuacha taaluma yako? Wewe ni Mwanasiasa, mwana harakati au Wakili?
 
Sema we jamaa una kaujuaji Fulani ka kishamba. BAK is far better than you.
Yawezekana hujaisoma mada yote mpaka mwisho.

Mleta mada ameiandika vizuri. Ameandika mambo ya msingi. Hapa kikubwa alichokiandika ni namna ya kuzipigania haki za kisheria zilizokanywagwa na watawala , lakini zipiganiwe kwa namna gani. Mathalani kuna haki za msingi za kuchagua na kuchaguliwa zimeporwa na watawala kupitia bunge batili, kuna sheria ya hovyo ya uchaguzi, kuna sheria ya hovyo ya vyama vya siasa, sheria ya mtandao. Sasa kupambana dhidi ya udhalimu huu, TLS ifanye nini?

TLS inaweza kuipeleka Serikali mahakamani- ikifanya hivyo itakuwa imefanya kiprofesheni. TLS inaweza kuwapa elimu wananchi juu ya ubatili na kuushawishi umma kupinga sheria hii kupitia maandamano ya umma. Ikifanya hivyo itakuwa imefanya kiharakati. Nadhani hiyo ndiyo tofauti. Pascal atanisahihisha kama nimekosea.

Lakini ni sahihi kabisa, kwa nchi yetu hii ambayo watawala wamevuruga mifumo yote ya utawala wa sheria, haki na demokrasia, TLS kuwa kinara kwenye kupambana dhidi ya ubatili huu. Lakini siyo TLS pekee, bali pia taasisi mbalimbali zinatakiwa kupambana, kila taasisi kwa namna yake kwa kufuata misingi yake. Na mwisho kabisa ni umma mzima unatakiwa kupambana dhidi ya ubatili wote unaofanywa na watawala dhidi ya Taifa na umma wa Taifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…