Hakuna ubishi mwaka 2016 ulikuwa mwaka wa Wasafi Wcb

Acheni maneno wekeni Muziki..nyimbo ambayo hata bibi angu ambaye miguu imepoteza nguvu ya kusimama dede akiusikia asimama na ku bang..kweli Darasa umewashika panapouma wengi
 
Na alienda kufanya nini Dodoma? Hivi ujalipwa alafu unapanda gari mpaka Dodoma na stejini unapanda kufanya soundcheck saa nane usiku? Hvi nyie mashabiki wake mbona mnakuwa vilaza namna hiyo?
Ndo ili ujue hakukuwa na maelewano ndo maana hata insta hajapost Kama Ana show ambacho huelewi ni nn hapo labda
 
Bahati mbaya sana nyimbo zao zote za mwisho zikazikwa na kitu ya darasa.huyu darasa huyu sio mtu mzuri.
Zimezikwaje ? Acha kufananisha. Kokoro na mambo ya kipuuzi
 
2017 itakuwa vizuri kuona label zingine zinajitahidi kupaa, ili na pia wasafi nao wajipaishe zaidi. Wapate washindani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…