GE2025 Hakuna uchaguzi Tanzania mwaka huu, kuna show kama za wasanii

GE2025 Hakuna uchaguzi Tanzania mwaka huu, kuna show kama za wasanii

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
  1. Wasafi Festivo
  2. Fiesta
  3. Nandy Festivo
  4. Mziki Mnene....n.k..Vyote Vimeungwa Pamoja....
 
Uchaguzi upo!


Kama navyosema uchaguzi upo kama maigizo tu. Ni sawa na kushindana na wafanyakazi wapo. Sijawahi kujisikia aibu kwa taifa langu kwa kiasi hiki. Matumaini ni kuna watanznia kama Lissu, Polepole, Gwajima, Heche, Warioba, Butiku na wengine wegi wanaopenda taifa. Majeshi yetu, media ambazo zimeapa kutetea haki na usawa ni loss case na wametuangusha sana Tanzania. Kitendo cha watu hawa wasomi kuhoji kama kuna chaguzi au maigizo ni salamu tosha kwa kinachoendelea hata tuseme nini huo ndiyo ukweli.

Asilimia kubwa ya Watanzania kwa sasa hawana imani na chaguzi zetu tena na hii sio nzuri kwa Tanzania
 
Back
Top Bottom